TANZIA Pumzika kwa amani Lt. Gen Benjamini Msuya

TANZIA Pumzika kwa amani Lt. Gen Benjamini Msuya

Butrundi Alileta fyoko fyoko sana tu mpakani Brigedia Msuya akaamua kuvuka mpaka kuingia Burundi na kikosi cha makomando8 wa JWTZ hadi ikulu ya Bujumbura bila anri ya raisi baada ya kuona chokochoko zimezidi Askari wa Tanzania kutwa hawalali kisa chokochoko za Burundi mpakan8 akaenda kutaka kuteka Na kumleta Raisi wa Burundi Tanzania.

Raisi wetu ndie alimzuia kuwa ingeleta zahama kimataifa Toka hapo Askari wa Jeshi la Burundi hawajawahi Chezea Tanzania Tena
Walikuwa wajeshi wa burundi wana kuja kipora tz au ilikuwaje hasa mpaka wakawashiwa moto?
 
Inaonekana wewe ni intellectually arrogant au hutuki kuelewa maoni ya wenzako. Kuna narrative zinasema kuwa sisi ndio tulianza kurusha makombola kwenda uganda then idd amini akajibu kwa ku annex sehemu ya kagera. Sio fair kudhalauliana katika mambo ya kueleweshana. Nyerere anadai uganda alianza kufanya uchokozi baada ya ndege zake kufanya manuva kwenye Anga Tanzania. Kwa hiyo chanzo cha vita ni debate ambayo itajibiwa na tafiti
Sijui ni exposure au ni ubishi wako tu. Nimekwambia somo wikileaks / CIA files zilizoko leak / diplomatic cables kuhusu hiyo vita halafu upambanue na kilichosemwa na Serikali ya Nyerere lakini bado una rant over some BS. Naheshimu mawazo yako na wala sina haki wala uwezo wa kulazimisha uone kwa mtazamo wangu. Halafu kweli unataka kufanya tafiti kuhusu hili jambo? Kweli?
 
Bado unashikilia kulikuwa hamna haja ya kujibu mapigo?? Hiyo scenario ya eti Tz walianza haijulikani trash it!
Nyerere alimtengeneza mtego Amini na akaingia kichwa kichwa. One way or another Nyerere alikuwa anamtoa Amin hata kama asingeanza vita na sisi.
 
Binafsi huwa sipendi fallacies maana kupata objective information unapaswa kuwa informed na taarifa rasmi na sio fallacies. Kuhusu propaganda ndio medani yenyewe ukisema nyerere alitufungaa tayari umeshachukua upande kwa hiyo utakachokitoa ni maoni yako binafsi. Mzee wangu alikuwa commissioned officer, uganda ameisha baada ya vita.
Mzee wako kuwa commissioned officer inabadilisha nini sasa.
1. Mwaka 1971 Obote anapinduliwa na Amin alikuja kupata political asylum hapa Tanzania. Uliwahi ona wapi nchi maskini inatoa hifadhi ya kisiasa ya kiongozi wa nchi jirani? Yani Amin alivyopigwa na Tanzania mbona hakwenda Kenya au DRC alipitia Libya mpaka Saudi Arabia?

2. Jaribio la kumuua Amin alipotoroka na helicopter lilifanywa na waasi kutokea Tanzania na walipofeli walirudi Tanzania. Bado Amin ndio kaanzisha ugomvi?

3. Museveni kaishi Tanzania baada ya Amin kuwasumbua maofisa aliowakuta jeshini, kapita Monduli chuoni. Mtoto wake huyu mkorofi kamzaa akiwa Tanzania, Museveni mwenyewe huwa anasema jinsi walivyokuwa wanachukua mafunzo na silaha uko Tanga na Arusha. Huu sio ugomvi?

4. Obote hapa alikuwa na kundi la wafuasi na wapiganaji.

Kiherehere cha Nyerere kujifanya mwema ndio kilitupomza. Tulitumia gharama kubwa sana kutengeneza uadui na Amin, na tulilipa gharama hizo. Amin alikuwa na hali ngumu akatafuta justification ya vita ili kufanya diversion ya shida zake, na sababu alikuwa nazo ila kupanga hoja akashindwa.

Huwezi kuwa nchi maskini ukaingilia mambo binafsi ya nchi jirani na kuchukua upande. Unadhani Kenya walikuwa wajinga walipoamua kuwa neutral kwenye vita. Madawati darasani huna, alafu leo Kagame apinduliwe umpe kambi Tabora yeye na maofisa wake, uwape silaha, pesa na mafunzo alafu baadae ulalamike Rwanda ya mapinduzi imeshambulia eneo la Ngara.
 
Nyerere alimtengeneza mtego Amini na akaingia kichwa kichwa. One way or another Nyerere alikuwa anamtoa Amin hata kama asingeanza vita na sisi.
Ninavyokumbuka mwenyewe ni kuona majeshi ya amini na mauaji Kyaka na mutukula! Awe ametengenezewa zengwe au la lakini ilikuwa vita! na tulitakiwa kujibu ama sivyo Mto kagera ungekuwa mpaka wa Tz/UG
 
Hatimae yametimia! Apumzike kwa amani! Huyu ni Lt General Benjamini Msuya! Alikuwa kinara wakati wa vita ya Kagera!

Aliongoza utekaji wa Jiji la kampala na kuwa Meya wa Kampala, na pia kama Rais wa Uganda kwa muda wa siku tatu akiwa na cheo cha Lt. kanali!

Ni miongoni mwa watu ambao Taifa litawaenzi daima na milele! Aliwahi kuugua kipindi flani katika maisha yake hadi tukadhani amekufa lakini kwa miujuza akapona!! Hatimae sasa ameondoka…..!!!!

[emoji24][emoji24][emoji24]Akapumzike kwa amani!

Atapumzishwa kwao Ugweno!!!

Jina la Bwana lihimidiwe!

View attachment 2768898

Inasikitisha zaidi pale historia ya mtu mhimu kwa taifa namna hii inasikika baada ya mhusika mwenyewe kufa.

Yaani huyu mwamba amewahi kuwa raisi wa uganda.ila hatukumsoma kabisa kwenye historia
 
Dah! Wazee mhimu wanatuacha, nawaheshimu sana JWTZ kusini Miaka miwili nyuma kulikua kumepungua usalama kabisa lkn Jamaa walipoingia Sasa mambo shwari.... Ebu fikria mzee amebaki Nape!! Vita ya Kagera nilikua namsikiaga mwamba Mayunga tu kumbe kulikua na Mwamba Msuya🙏🙏RIP
 
Hivi humfahamu Ushimen ? Kila msiba unaotajwa humu JF yeye husema ni classmate wake regardless of age; hata kama marehemu ana miaka miwili!!! [emoji16][emoji16][emoji1]

Amesema mengine yanabaki kama siri kapuni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom