Burundi walivyoleta fyokofyoko hawaji.kumsahau huyoHuyu niliona kwenye tv anavyoeleza jinsi vita ya kagera ilivyokuwa kwa kweli tumepoteza mzalendo na shujaa kwelikweli. Anasema ukimuona mchunga ng'ombe katikati ya uwanja wa medani ua huyo ni askari anafanya ukachero. Pia alieleza jinsi ndege zetu zilivyokuwa zinashambulia usiku, mizinga ya BM 21 ilivyokinukisha mpaka idd amini akatimua mbio
Kipindi ambacho baadhi ya askari wa burundi walivuka mpaka na kufanya uhalifu kwa raia kina kitu walifanyiwa, walipigwa na mizingaBurundi walivyoleta fyokofyoko hawaji.kumsahau huyo
Jeuri yote ya Burundi dhidi ya Tanzania ndie aliizima. Huyo
Alikuwa Mwanajeshi wa Ukweli sio maghumashi
Hivi vita ya Uganda imetusaidia nini kama nchi zaidi ya kutuzidishia Umaskini tuHatimae yametimia! Apumzike kwa amani! Huyu ni Lt General Benjamini Msuya! Alikuwa kinara wakati wa vita ya Kagera!
Aliongoza utekaji wa Jiji la kampala na kuwa Meya wa Kampala, na pia kama Rais wa Uganda kwa muda wa siku tatu akiwa na cheo cha Lt. kanali!
Ni miongoni mwa watu ambao Taifa litawaenzi daima na milele! Aliwahi kuugua kipindi flani katika maisha yake hadi tukadhani amekufa lakini kwa miujuza akapona!! Hatimae sasa ameondoka…..!!!!
[emoji24][emoji24][emoji24]Akapumzike kwa amani!
Atapumzishwa kwao Ugweno!!!
Jina la Bwana lihimidiwe!
View attachment 2768898
Mkuu wewe mtu akikuvamia hapo kwako alete ubabe utakaa kimya?Hivi vita ya Uganda imetusaidia nini kama nchi zaidi ya kutuzidishia Umaskini tu
Tumeiheshimisha na kuilinda Tanzania yetuHivi vita ya Uganda imetusaidia nini kama nchi zaidi ya kutuzidishia Umaskini tu
Mashujaa wetu hatujawahi kuwaenzi ipasavyo.
Historia shuleni inamtukuza mwingereza na mjerumani
Leta madini, ilikuaje.Burundi walivyoleta fyokofyoko hawaji.kumsahau huyo
Jeuri yote ya Burundi dhidi ya Tanzania ndie aliizima. Huyo
Alikuwa Mwanajeshi wa Ukweli sio maghumashi
Leta madini, ilikuaje.
Hata kama vitabu mashuleni havitoandika basi JF itunze rekodi
RIP Master.
Leta madini, ilikuaje.
Hata kama vitabu mashuleni havitoandika basi JF itunze rekodi
RIP Master.