Leta madini, ilikuaje.
Hata kama vitabu mashuleni havitoandika basi JF itunze rekodi
RIP Master.
Vitabu vipo sema tu hatuna mazoea ya kuvisoma na kuvitangaza!Leta madini, ilikuaje.
Hata kama vitabu mashuleni havitoandika basi JF itunze rekodi
RIP Master.
Burundi aliwah leta fyoko kwa Tz? Hii sijawah isikia mkuuBurundi walivyoleta fyokofyoko hawaji.kumsahau huyo
Jeuri yote ya Burundi dhidi ya Tanzania ndie aliizima. Huyo
Alikuwa Mwanajeshi wa Ukweli sio maghumashi
Nyerere alitaka kumrudisha rafiki yake Obote madarakani zaidi ya hapo hapakuwa na sababu ya msingi. Hizi tabia zimekuja kurithiwa na Museveni na Kagame.Hivi vita ya Uganda imetusaidia nini kama nchi zaidi ya kutuzidishia Umaskini tu
Watu wa dini ya mudi, Sasa hivi mnamtetea idd amini kuwa alikuwa mlinganiaji, na mnapindisha historia kuwa eti hakuna mtu mbaya kwa nchi yake Wala Tanzania ❗❗❗ wakati vita imetokea tunaiona na tupo hai mnaanza kutulisha matango pori kisa alikuwa mwenzenu katika Imani kama mnavyomtetea na kumwabudu mwarabu eti anasingiziwa kushiriki biashara ya watumwa na kuwatesa baby zetu😄😄😄😄😄Nyerere alitaka kumrudisha rafiki yake Obote madarakani zaidi ya hapo hapakuwa na sababu ya msingi. Hizi tabia zimekuja kuridhiwa na Museveni na Kagame.
Wapi nimemtetea au hata kuandika jina la huyo dikteta?Watu wa dini ya mudi, Sasa hivi mnamtetea idd amini kuwa alikuwa mlinganiaji, na mnapindisha historia kuwa eti hakuna mtu mbaya kwa nchi yake Wala Tanzania ❗❗❗ wakati vita imetokea tunaiona na tupo hai mnaanza kutulisha matango pori kisa alikuwa mwenzenu katika Imani kama mnavyomtetea na kumwabudu mwarabu eti anasingiziwa kushiriki biashara ya watumwa na kuwatesa baby zetu😄😄😄😄😄
Kwa hiyo mwanaume mwenzako akivamia kwako kupora na kubaka mkeo na mabinti utapotezea kwa sababu haina tija kumpiga?Hivi vita ya Uganda imetusaidia nini kama nchi zaidi ya kutuzidishia Umaskini tu
Hii ni story iliyokuwa inatolewa na upande wa Serikali yetu lakini kabla ya hapo Nyerere alikuwa anawasaidia wanajeshi wa Obote kuingia Uganda kufanya mapambano kupitia mipaka yetu. Uzuri Amin alikuwa ni mjinga na hajui umuhimu wa International diplomacy mwenzake Nyerere akatengeneza narrative nzuri na iliyouzika kwa dunia na mbaya zaid Amini alikuwa anafanya mauaji Nchi mwake na kuvunja haki nyingi za binadamu. Ukweli utabaki kwamba Nyerere alianzisha ile vita kumtoa Amin.Kwa hiyo mwanaume mwenzako akivamia kwako kupora na kubaka mkeo na mabinti utapotezea kwa sababu haina tija kumpiga?
Hii haikuwa Sababu ya VitaKwa hiyo mwanaume mwenzako akivamia kwako kupora na kubaka mkeo na mabinti utapotezea kwa sababu haina tija kumpiga?
Tume maintain mpaka wetu.Hivi vita ya Uganda imetusaidia nini kama nchi zaidi ya kutuzidishia Umaskini tu
Ukweli wa kwako wewe bado uko subjective sana bado hujaweza kufanya utafiti wa kutosha kujua chanzo halisi cha vita ile. Hili tatizo linaonekana kwa vijana wengi wasomi wa leo wamekuwa manipulated sana na either na conspiracies au udini, au intellectual arrogance. Ukitaka kuufahamu ukweli ingia field usifanye research mwenyewe usiokoteze uchafu wa mtandaoni, waulize maafisa wa jeshi waliopiganisha vita ile, baadhi ya viongozi wa wakati huo, baadhi ya raia wa uganda walioshuudia vita hiyo.Hii ni story iliyokuwa inatolewa na upande wa Serikali yetu lakini kabla ya hapo Nyerere alikuwa anawasaidia wanajeshi wa Obote kuingia Uganda kufanya mapambano kupitia mipaka yetu. Uzuri Amin alikuwa ni mjinga na hajui umuhimu wa International diplomacy mwenzake Nyerere akatengeneza narrative nzuri na iliyouzika kwa dunia na mbaya zaid Amini alikuwa anafanya mauaji Nchi mwake na kuvunja haki nyingi za binadamu. Ukweli utabaki kwamba Nyerere alianzisha ile vita kumtoa Amin.
Wapo na wengine ambao histotua zao zimewekwa makabatini.Kweli kabisa, huyu mtu ni miongoni mwa watu ambao tulipaswa kuwaenzi ipasavyo, binafsi mimi namfahamu vyema!
Huyu mtu kwa namna alivyolitumikia taifa alipaswa kuenziwa mno!
Wa kukaya Rest in eternal peaceHatimae yametimia! Apumzike kwa amani! Huyu ni Lt General Benjamini Msuya! Alikuwa kinara wakati wa vita ya Kagera!
Aliongoza utekaji wa Jiji la kampala na kuwa Meya wa Kampala, na pia kama Rais wa Uganda kwa muda wa siku tatu akiwa na cheo cha Lt. kanali!
Ni miongoni mwa watu ambao Taifa litawaenzi daima na milele! Aliwahi kuugua kipindi flani katika maisha yake hadi tukadhani amekufa lakini kwa miujuza akapona!! Hatimae sasa ameondoka…..!!!!
[emoji24][emoji24][emoji24]Akapumzike kwa amani!
Atapumzishwa kwao Ugweno!!!
Jina la Bwana lihimidiwe!
View attachment 2768898
Rest in Peace Maj General Msuya
Butrundi Alileta fyoko fyoko sana tu mpakani Brigedia Msuya akaamua kuvuka mpaka kuingia Burundi na kikosi cha makomando8 wa JWTZ hadi ikulu ya Bujumbura bila anri ya raisi baada ya kuona chokochoko zimezidi Askari wa Tanzania kutwa hawalali kisa chokochoko za Burundi mpakan8 akaenda kutaka kuteka Na kumleta Raisi wa Burundi Tanzania.Kweli kabisa, huyu mtu ni miongoni mwa watu ambao tulipaswa kuwaenzi ipasavyo, binafsi mimi namfahamu vyema!
Huyu mtu kwa namna alivyolitumikia taifa alipaswa kuenziwa mno!
Hongera zake nyingi huyu mzalendo wetu katika ukombozi wa nchi, ikawe ni sherehe ya kumuaga akienda kupata tuzo mbele ya Mungu wetuHatimae yametimia! Apumzike kwa amani! Huyu ni Lt General Benjamini Msuya! Alikuwa kinara wakati wa vita ya Kagera!
Aliongoza utekaji wa Jiji la kampala na kuwa Meya wa Kampala, na pia kama Rais wa Uganda kwa muda wa siku tatu akiwa na cheo cha Lt. kanali!
Ni miongoni mwa watu ambao Taifa litawaenzi daima na milele! Aliwahi kuugua kipindi flani katika maisha yake hadi tukadhani amekufa lakini kwa miujuza akapona!! Hatimae sasa ameondoka…..!!!!
[emoji24][emoji24][emoji24]Akapumzike kwa amani!
Atapumzishwa kwao Ugweno!!!
Jina la Bwana lihimidiwe!
View attachment 2768898