Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wanawake hammalizii clasmate kwamba hujasoma nae amaR.I.P
Poleni sana kwa msiba.Huyo Mzee ni Mstaafu (82) alikuwa anaishi Ukonga stakishari, mie ni mjomba wangu na yeye ndiyo alikuwa Mzee wa familia kwa ukoo wa Majebele kwahiyo kila jambo mfano, harusi, misiba nk lazima ash.
Ndugu na jamaa walichanga kwenye msiba mpaka kamati ikataka kusitisha zoezi la kupokea rambirambi, hakika watu walijitoa sana.
Changamoto ilikuwa wapi azikwe, wengi wana ndugu walipendekeza Kinondoni na hata kamati ilipendekeza Kinondoni ila kutokana na jinsi alivyokuwa anaishi vizuri jamii ya kule pamoja na Kanisa la mt. Thadei waliomba azikwe jirani basi familia ikakubali kumzika kwenye makaburi ya Kinyerezi Zimbili.
Hiyo yote kuonyesha jinsi gani mzee wetu alivyokuwa anakubalika kwenye jamii licha ya kutokuwa na utajiri wa mali na pesa. hakika nimejifunza mengi kwenye huu msiba wa mzee wetu.
Pole sana kwa familia na shukran kwa waliojitoa.
Pumzika kwa amani Mzee Shigella
AKSANTE SANA 🙏
Kaka! Kila mtu akianza kuleta misiba ya kwao itakuwaje?Huyo Mzee ni Mstaafu (82) alikuwa anaishi Ukonga stakishari, mie ni mjomba wangu na yeye ndiyo alikuwa Mzee wa familia kwa ukoo wa Majebele kwahiyo kila jambo mfano, harusi, misiba nk lazima ash.
Ndugu na jamaa walichanga kwenye msiba mpaka kamati ikataka kusitisha zoezi la kupokea rambirambi, hakika watu walijitoa sana.
Changamoto ilikuwa wapi azikwe, wengi wana ndugu walipendekeza Kinondoni na hata kamati ilipendekeza Kinondoni ila kutokana na jinsi alivyokuwa anaishi vizuri jamii ya kule pamoja na Kanisa la mt. Thadei waliomba azikwe jirani basi familia ikakubali kumzika kwenye makaburi ya Kinyerezi Zimbili.
Hiyo yote kuonyesha jinsi gani mzee wetu alivyokuwa anakubalika kwenye jamii licha ya kutokuwa na utajiri wa mali na pesa. hakika nimejifunza mengi kwenye huu msiba wa mzee wetu.
Pole sana kwa familia na shukran kwa waliojitoa.
Pumzika kwa amani Mzee Shigella
Kwani lazima usome?Kaka! Kila mtu akianza kuleta misiba ya kwao itakuwaje?
Mkuu classmate una maana nyingine tofauti na hii tuijuayo wengi??R.I.P classmate
La hadi makaburini kuna madalali nchi hii kibokoMakaburi ya Segerea ndiyo yamejaaa , tulimpumzisha kwenye makaburi ya Kinyerezi Zimbili, sema yanaelekea kujaa ila ukiwa na issue sema nikupe contact !!!!!!!! bado kuna nafasi 4 .
Kaka! Kila mtu akianza kuleta misiba ya kwao itakuwaje?
La matangazo ya vifo[emoji1787][emoji1787] JF watuwekee jukwaa la misiba
Kwa makala haya ya hiki kifo serious....Huyo Mzee ni Mstaafu (82) alikuwa anaishi Ukonga stakishari, mie ni mjomba wangu na yeye ndiyo alikuwa Mzee wa familia kwa ukoo wa Majebele kwahiyo kila jambo mfano, harusi, misiba nk lazima ash.
Ndugu na jamaa walichanga kwenye msiba mpaka kamati ikataka kusitisha zoezi la kupokea rambirambi, hakika watu walijitoa sana.
Changamoto ilikuwa wapi azikwe, wengi wana ndugu walipendekeza Kinondoni na hata kamati ilipendekeza Kinondoni ila kutokana na jinsi alivyokuwa anaishi vizuri jamii ya kule pamoja na Kanisa la mt. Thadei waliomba azikwe jirani basi familia ikakubali kumzika kwenye makaburi ya Kinyerezi Zimbili.
Hiyo yote kuonyesha jinsi gani mzee wetu alivyokuwa anakubalika kwenye jamii licha ya kutokuwa na utajiri wa mali na pesa. hakika nimejifunza mengi kwenye huu msiba wa mzee wetu.
Pole sana kwa familia na shukran kwa waliojitoa.
Pumzika kwa amani Mzee Shigella
Mkuu,Kwa makala haya ya hiki kifo serious....
Nilichojifunza ni kwamba kama huna hela wala mali au power then "wema" na "unyenyekevu" kwa wanadamu ndio your currency
Wema na Unyenyekevu wanaotaka wanadamu ni wewe uache kua yourself uingie kwenye sekta ya kua mnafiki uuvae uhusika wanaoutaka wao kuwaridhisha wao
Huo upumbavu I'm sorry,I will never do,instead nakusanya mali za kutosha which guarantees respect regardless!
In this life its even harder turning an actor without movie roles
I will be me,myself,and if you got problem with it,then sorry I cant help your feelings,but u will respect me regardless!
Pole kwa wafiwa, ila huu ushamba na ulimbukeni wa ''live streaming'' ya mazishi ni ujinga uliopitiliza. Mazishi ni kitu cha private hakitakiwi kuonyeshwa kwenye internet. Huu ulimbukeni unaivamia jamii yetu kwa kasi kabisa.Amina.
Hili nalo ni neno. Mtu anaweza kuwa alivyo siyo kwa sababu ni unafiki wa kufurahisha watu bali ndivyo anavyotaka na ku-enjoy.Mkuu,
Nakuelewa. Mimi pia napenda kujitambua na kufanya ninachotaka, si ninachopangiwa na jamii.
Lakini pia huoni kwamba inawezekana kabisa mtu akalelewa katika jamii inayofundisha wema na unyenyekevu, na yeye akaukubali wema na unyenyekevu kifalsafa, si kwa sababu anataka kuifurahisha jamii, si kwa sababu anataka sifa, bali kwa sababu yeye mwenyewe ameukubali wema na unyenyekevu kifalsafa?
Na ikiwa hilo linawezekana, huoni kwamba hapo mtu kuwa na social currency kutokana na wema na unyenyekevu hakuna conflict kati ya jamii inachotaka na anachotaka yeye?
Yani, huoni kwamba mtu huyo, he doesn't have to act or be a hypocrite to get thst social currency? Huoni keamba he can get thst currency just by being his true self?
Live streaming siioni kama ni ulimbukeni. Ni tukio la mara moja wahusika wakuu wengine hawapo hivyo tukiamua kuwaonyesha kinachoendelea sio vibaya.Pole kwa wafiwa, ila huu ushamba na ulimbukeni wa ''live streaming'' ya mazishi ni ujinga uliopitiliza. Mazishi ni kitu cha private hakitakiwi kuonyeshwa kwenye internet. Huu ulimbukeni unaivamia jamii yetu kwa kasi kabisa.
Ni ulimbekeni tena ushamba mkubwa. Kwani walioko mbali hawawezi kuona recorded video? Angalia nchi zilizoendelea zenye watu wastaarabu huu ujinga hawafanyi na mazishi mengi husema ni private matter. Kwetu tumefikia hadi ukatili wa kuingia wodini kuhoji wagonjwa walio taabani eti ni ''waandishi wa habari''. Ujinga.Live streaming siioni kama ni ulimbukeni. Ni tukio la mara moja wahusika wakuu wengine hawapo hivyo tukiamua kuwaonyesha kinachoendelea sio vibaya.
Kama ingekuwa ni ulimbukeni hata jeneza tungetoa hivyo, hata mortuary tungeita hivyo
Na mara nyingi ukiona mtu kakubalika na watu wengi sana inakuwa ni hivyo.Hili nalo ni neno. Mtu anaweza kuwa alivyo siyo kwa sababu ni unafiki wa kufurahisha watu bali ndivyo anavyotaka na ku-enjoy.
Mkuu,Pole kwa wafiwa, ila huu ushamba na ulimbukeni wa ''live streaming'' ya mazishi ni ujinga uliopitiliza. Mazishi ni kitu cha private hakitakiwi kuonyeshwa kwenye internet. Huu ulimbukeni unaivamia jamii yetu kwa kasi kabisa.