Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka wakati Ngwair amekufa nyimbo zake ziligongwa sana kwenye vyombo vya habari,Mzee wangu akaniuliza "huyu msanii gani mbona amekufa ndio anakuwa maarufu?" nikamwambia Mzee huyu mtu maarufu kitambo sana,sema haya sio mambo yako. Huyu mwana mnamjadili hapa ndio namsikia leo,alafu naona maneno hata sielewi mara TAKE OFF,Mara MIGOS mara KIRSHINK. Inawezekana yule demu alonichana leo mimi wa kijijini hakukosea....RIP MWAMBA.