Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada Sky Eclat kwa ratiba hiyo mafuta yatapungua kivipi? Maana hujazungumzia kuacha kula nyama, chips na vitu vingine?Achana na sukari, asali, mikate, vitumbua, maandazi, keki nk
View attachment 984055
Kunywa litre mbili za maji kila siku
View attachment 984059
Tembea hatua 8,500 kila siku.
Nyama chips kula kama kawaida mtadi unafanya hati hapo juuDada Sky Eclat kwa ratiba hiyo mafuta yatapungua kivipi? Maana hujazungumzia kuacha kula nyama, chips na vitu vingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Download app za mazoeziKuna kifaa cha kuweza kuhesabu hatua? Nataka nifikishe kilo 70 kabla ya April.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kifaa cha kuweza kuhesabu hatua? Nataka nifikishe kilo 70 kabla ya April.
Sent using Jamii Forums mobile app
HowKuna kifaa cha kuweza kuhesabu hatua? Nataka nifikishe kilo 70 kabla ya April.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, na kupunguza kitambi je?Nyama chips kula kama kawaida mtadi unafanya hati hapo juu
Kuna kifaa cha kuweza kuhesabu hatua? Nataka nifikishe kilo 70 kabla ya April.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asali ina ubaya gani?Achana na sukari, asali, mikate, vitumbua, maandazi, keki nk
View attachment 984055
Kunywa litre mbili za maji kila siku
View attachment 984059
Tembea hatua 8,500 kila siku.
Acha tu. Nitapungua inshallah. Wali na bia vinaniponza sanaMeans una zaidi ya 70?? Pungua aisee.
Chakula unachokula kila siku wali, ugali makande, chips ni sukari inayotosha mahitaji ya mwiliUnapotosha asali ni sukari inayohitajika mwilini ndio sukari inayo ingia mwilini moja kwa moja kwemye utendani kaz....
Kosa kubwa linafanywa na hawa watoa ushauri wanaweka vikwazo vingi sana yaana vitu vya kufanya ma vya kuacha vinakuwa vingi kiasi kwamba inakuwa kama ni project kunwa sana kwenye maisha mtu matokeo yake mtu anapofanya kwa mda fulan akiona hapati matokeo anapata stress anachaa..na kingine kuweka time frame nayo inacjangia kuleta stress hapo umesema siku 28 tuna miili tofauti mtu atafikisha hizo siku 28 na haon matokeo anaacha anaona fomula hiyo haina maana na anaeud alikotoka...
Ushauri bora ni huu....mwili hupungua kwa njia mbili kwa kupunguza calories unaozingiza mwili kuliko mahitaji y mwili ili mwili uweze kichoma mafuta ya mwili kwa ajili ya nishat na njia ya ppili ni kutumia calories nyingi kuliko akiba yako kwa kufanya mazoezi njia zote ni sahihi ila sahihi zaid ni ya kifanya mazoezi
Kwanza usiifanye kama ni project kubwa unayotakiwa kui achieve pili usianze kuji limit vyakula na kujiongezea vitu vya kula nenda taratibu sababu mwili wako haufanyi mabadiliko ghafla..hata mazoezi usipanic sana jitahidi zisipite siku tatu bila kufanya mazoezi na uwe ni utaratibu wako wa maisha....taratibu baada ya muda haswa wiki nne au sota utaanza kuona mabadililko na wewe mwemyewe utaanza kujilimit nini cha kula na kuacha kula na pia tembelea Youtube angalia wataalam mbali mbali wa mazoezi wakushauri mazoezi mazuri ya kifanya kulingana na mahitaji yako ya mwili.!
Sent using Jamii Forums mobile app