Punguza mafuta mwilini kwa siku 28

Punguza mafuta mwilini kwa siku 28

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Achana na sukari, asali, mikate, vitumbua, maandazi, keki nk
1546444199001.jpeg


Kunywa litre mbili za maji kila siku
1546444325862.jpeg



Tembea hatua 8,500 kila siku.
 

Attachments

  • 1546444468430.jpeg
    1546444468430.jpeg
    18.6 KB · Views: 32
Atajua kuwa ameingia chaka too late!
 
Unapotosha asali ni sukari inayohitajika mwilini ndio sukari inayo ingia mwilini moja kwa moja kwemye utendani kaz....

Kosa kubwa linafanywa na hawa watoa ushauri wanaweka vikwazo vingi sana yaana vitu vya kufanya ma vya kuacha vinakuwa vingi kiasi kwamba inakuwa kama ni project kubwa sana kwenye maisha mtu matokeo yake mtu anapofanya kwa mda fulan akiona hapati matokeo anapata stress anacha..na kingine kuweka time frame nayo inachangia kuleta stress hapo umesema siku 28 tuna miili tofauti mtu atafikisha hizo siku 28 na haon matokeo anaacha anaona fomula hiyo haina maana na anarud alikotoka...


Ushauri bora ni huu....mwili hupungua kwa njia mbili kwa kupunguza calories unaozingiza mwili kuliko mahitaji y mwili ili mwili uweze kichoma mafuta ya mwili kwa ajili ya nishat na njia ya ppili ni kutumia calories nyingi kuliko akiba yako kwa kufanya mazoezi njia zote ni sahihi ila sahihi zaid ni ya kifanya mazoezi

Kwanza usiifanye kama ni project kubwa unayotakiwa kui achieve pili usianze kuji limit vyakula na kujiongezea vitu vya kula nenda taratibu sababu mwili wako haufanyi mabadiliko ghafla..hata mazoezi usipanic sana jitahidi zisipite siku tatu bila kufanya mazoezi na uwe ni utaratibu wako wa maisha na mazoezi yasizid lisaa moja kama unafanya weghit trainng..taratibu baada ya muda haswa wiki nne au sita utaanza kuona mabadililko na wewe mwemyewe utaanza kujilimit nini cha kula na kuacha kula na pia sababu ukiona result utaamza kitaman kuish kwa afya tembelea Youtube angalia wataalam mbali mbali wa mazoezi wakushauri mazoezi mazuri ya kufanya kulingana na mahitaji yako ya mwili.!..

Ila kumbuka kwenye kupunguza mwili inabidi ujitoe kiasi ila usianze kwa kasi utashindwa baada ya muda mfupi...nenda taratibu hinshidani na mtu.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapotosha asali ni sukari inayohitajika mwilini ndio sukari inayo ingia mwilini moja kwa moja kwemye utendani kaz....

Kosa kubwa linafanywa na hawa watoa ushauri wanaweka vikwazo vingi sana yaana vitu vya kufanya ma vya kuacha vinakuwa vingi kiasi kwamba inakuwa kama ni project kunwa sana kwenye maisha mtu matokeo yake mtu anapofanya kwa mda fulan akiona hapati matokeo anapata stress anachaa..na kingine kuweka time frame nayo inacjangia kuleta stress hapo umesema siku 28 tuna miili tofauti mtu atafikisha hizo siku 28 na haon matokeo anaacha anaona fomula hiyo haina maana na anaeud alikotoka...


Ushauri bora ni huu....mwili hupungua kwa njia mbili kwa kupunguza calories unaozingiza mwili kuliko mahitaji y mwili ili mwili uweze kichoma mafuta ya mwili kwa ajili ya nishat na njia ya ppili ni kutumia calories nyingi kuliko akiba yako kwa kufanya mazoezi njia zote ni sahihi ila sahihi zaid ni ya kifanya mazoezi

Kwanza usiifanye kama ni project kubwa unayotakiwa kui achieve pili usianze kuji limit vyakula na kujiongezea vitu vya kula nenda taratibu sababu mwili wako haufanyi mabadiliko ghafla..hata mazoezi usipanic sana jitahidi zisipite siku tatu bila kufanya mazoezi na uwe ni utaratibu wako wa maisha....taratibu baada ya muda haswa wiki nne au sota utaanza kuona mabadililko na wewe mwemyewe utaanza kujilimit nini cha kula na kuacha kula na pia tembelea Youtube angalia wataalam mbali mbali wa mazoezi wakushauri mazoezi mazuri ya kifanya kulingana na mahitaji yako ya mwili.!

Sent using Jamii Forums mobile app
Chakula unachokula kila siku wali, ugali makande, chips ni sukari inayotosha mahitaji ya mwili
 
Back
Top Bottom