Unapotosha asali ni sukari inayohitajika mwilini ndio sukari inayo ingia mwilini moja kwa moja kwemye utendani kaz....
Kosa kubwa linafanywa na hawa watoa ushauri wanaweka vikwazo vingi sana yaana vitu vya kufanya ma vya kuacha vinakuwa vingi kiasi kwamba inakuwa kama ni project kunwa sana kwenye maisha mtu matokeo yake mtu anapofanya kwa mda fulan akiona hapati matokeo anapata stress anachaa..na kingine kuweka time frame nayo inacjangia kuleta stress hapo umesema siku 28 tuna miili tofauti mtu atafikisha hizo siku 28 na haon matokeo anaacha anaona fomula hiyo haina maana na anaeud alikotoka...
Ushauri bora ni huu....mwili hupungua kwa njia mbili kwa kupunguza calories unaozingiza mwili kuliko mahitaji y mwili ili mwili uweze kichoma mafuta ya mwili kwa ajili ya nishat na njia ya ppili ni kutumia calories nyingi kuliko akiba yako kwa kufanya mazoezi njia zote ni sahihi ila sahihi zaid ni ya kifanya mazoezi
Kwanza usiifanye kama ni project kubwa unayotakiwa kui achieve pili usianze kuji limit vyakula na kujiongezea vitu vya kula nenda taratibu sababu mwili wako haufanyi mabadiliko ghafla..hata mazoezi usipanic sana jitahidi zisipite siku tatu bila kufanya mazoezi na uwe ni utaratibu wako wa maisha....taratibu baada ya muda haswa wiki nne au sota utaanza kuona mabadililko na wewe mwemyewe utaanza kujilimit nini cha kula na kuacha kula na pia tembelea Youtube angalia wataalam mbali mbali wa mazoezi wakushauri mazoezi mazuri ya kifanya kulingana na mahitaji yako ya mwili.!
Sent using
Jamii Forums mobile app