Kama mwanaume unahatarisha afya ya uume wako kwa kuusugua mshipa unafanya mashine inyunyuke.!
alafu wali wenyewe wa nazi wenye iliki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na Heineken. Mimi na wewe tutapungua kwa kudra za mwenyezi Mungu. Mimi ninavyopenda wali jamaniNnavyopenda vitumbua sasa na keki duuh,..
ππππmm jamanii sipungui mpaka kristo arudi Heineken,wali,kitimoto,nyama choma asubuuutuuu halafu nikiwa na stress ndio uuwwiii..kilo 800[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na Heineken. Mimi na wewe tutapungua kwa kudra za mwenyezi Mungu. Mimi ninavyopenda wali jamani
Sent using Jamii Forums mobile app