Punguza mafuta mwilini kwa siku 28

Punguza mafuta mwilini kwa siku 28

Mbona mimi nimekata ila imenigomea. Nimeacha kula 3 meals kwa siku nakula Mara moja saa kumi na moja au kumi na mbili. Nakunywa maji not less than 2litres ila sipungui. Beer zenyewe nakunywa Friday tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Anza kula matunda kwa wingi tofauti kila siku na "salad" ya aina mbalimbali.

Kwa mfano waweza kula salad yenye samaki, siku ingine salmon na siku ingine kuku wa kubanika (sio wa kukaanga).

Punguza nyama na vyakula vya ngano na vile vya wanga kama viazi au chips.

Kunywa maji mengi kila baada ya mlo ili kupunguza kutamani kula zaidi.

Piga zoezi la kutembea au kukimbia dakika 30 mara tatu au nne kwa wiki zatosha.

Anzisha klabu ya akina dada mfanye kwa pamija itasaidia kukuweka kwente "right-track".
 
Anza kula matunda kwa wingi tofauti kila siku na "salad" ya aina mbalimbali.

Kwa mfano waweza kula salad yenye samaki, siku ninge salmon na siku ingine kuku wa kubanika (sio wa kukaanga).

Punguza nyama na vyakula vya ngano na vile vy awanga kama viazi au chips.

Kunywa maji mengi kila baada ya mlo ili kupunguza kutamani kula zaidi.

Piga zoezi la kutembea au kukimbia dakika 30 mara tatu au nne kwa wiki zatosha.

Anzisha klabu ya akina dada mfanye kwa pamija itasaidia kukuweka kwente "right-track".
Nitajitahidi kufuata haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapotosha asali ni sukari inayohitajika mwilini ndio sukari inayo ingia mwilini moja kwa moja kwemye utendani kaz....

Kosa kubwa linafanywa na hawa watoa ushauri wanaweka vikwazo vingi sana yaana vitu vya kufanya ma vya kuacha vinakuwa vingi kiasi kwamba inakuwa kama ni project kubwa sana kwenye maisha mtu matokeo yake mtu anapofanya kwa mda fulan akiona hapati matokeo anapata stress anacha..na kingine kuweka time frame nayo inachangia kuleta stress hapo umesema siku 28 tuna miili tofauti mtu atafikisha hizo siku 28 na haon matokeo anaacha anaona fomula hiyo haina maana na anarud alikotoka...


Ushauri bora ni huu....mwili hupungua kwa njia mbili kwa kupunguza calories unaozingiza mwili kuliko mahitaji y mwili ili mwili uweze kichoma mafuta ya mwili kwa ajili ya nishat na njia ya ppili ni kutumia calories nyingi kuliko akiba yako kwa kufanya mazoezi njia zote ni sahihi ila sahihi zaid ni ya kifanya mazoezi

Kwanza usiifanye kama ni project kubwa unayotakiwa kui achieve pili usianze kuji limit vyakula na kujiongezea vitu vya kula nenda taratibu sababu mwili wako haufanyi mabadiliko ghafla..hata mazoezi usipanic sana jitahidi zisipite siku tatu bila kufanya mazoezi na uwe ni utaratibu wako wa maisha na mazoezi yasizid lisaa moja kama unafanya weghit trainng..taratibu baada ya muda haswa wiki nne au sita utaanza kuona mabadililko na wewe mwemyewe utaanza kujilimit nini cha kula na kuacha kula na pia sababu ukiona result utaamza kitaman kuish kwa afya tembelea Youtube angalia wataalam mbali mbali wa mazoezi wakushauri mazoezi mazuri ya kufanya kulingana na mahitaji yako ya mwili.!..

Ila kumbuka kwenye kupunguza mwili inabidi ujitoe kiasi ila usianze kwa kasi utashindwa baada ya muda mfupi...nenda taratibu hinshidani na mtu.!

Sent using Jamii Forums mobile app
brother chukua like hiyo, wewe ni complete genius, siyo half genious, umejibu kitaalamu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi niliinvert formula inayofanya kazi na ilifanya kazi kweli. My motto was “everything in half except water na usingizi”. Nilikata kila nilichokuwa ninatumia by half ya normal size: wali nusu, chapati 1 badala ya 2, sukari kijiko kimoja badala ya vitatu, maji glass 8 badala ya nne, bia nilipunguza sana (sikuacha) japo most cases ilikuwa weekend tu etc.

Zoezi sikufanya zaidi ya press up chache kila asubuhi kabla ya kwenda kuoga. Nilikata kama kilo 10 hivi in about 8 weeks. So, moderation is key here.
Hii ni njia nzuri sina pingamizi.... Kuacha kitu ghafla inaleta shida ni heri kuounguza kama mdau hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mimi nimekata ila imenigomea. Nimeacha kula 3 meals kwa siku nakula Mara moja saa kumi na moja au kumi na mbili. Nakunywa maji not less than 2litres ila sipungui. Beer zenyewe nakunywa Friday tu.
Dont skip meals. Kula kidoogo all meals ili kuudanganya mwili you are not starving na kufanya metabolism process iendelee kama kawaida
 
Unaweza kudownload kutoka kwenye health app nyingi tu.Ukatumia kwenye simu kuhesabu hatua unazotembea kwa siku,wiki nk.
Au nunua smart watch
 
Hizi biochemistry za.kijinga hizi mlifundishwa.wapi? Na akina Dr. Ndodi?
 
Back
Top Bottom