Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Pole babeJamani kwema?
Hebu fikiria Kuna mtu anaingia chumbani anafunga mlango,anazima taa,anajifunika shuka,lastly anafumba na macho kabisaaaaa !!Sasa najiuliza ni kupenda Sana giza au Aina Fulani ya kuwanga?
Jamani Raha ya kuwa wawili chumbani muonane..
Idd Mubarak.
Kitu siwezagi ni hayo mataa ya rangi rangi siyapendi labda iwe nyeusi
Haha nehi. Giza halijawahi kuwa zuri… mnaweza shtuana wenyewe.Nilidhani unapenda giza wewe
Ebu njoo hapa kwenye mwanga mkali, nikuoneUkinywa lubisi ndio unatamani giza?🏃🏃🏃🏃
Binafsi kukiwa na baridi sana huwa napendelea giza sana.Kama ni kuwanga poa,sio hata baby umemfusa sehemu kasmile huoni chaaa
😂 utakuwa tola weweKitu siwezagi ni hayo mataa ya rangi rangi siyapendi labda iwe nyeusi
Mwanga mkali wa nini sasa, unataka kunichomelea? We ni fundi welding?Ebu njoo hapa kwenye mwanga mkali, nikuone
Tola kivip?😂 utakuwa tola wewe
😂😂 aiseeMwanga mkali wa nini sasa, unataka kunichomelea? We ni fundi welding?
Wale wanaovaaga vigodoro huwa hawapendi mwanga.Mwanga mkali wa nini sasa, unataka kunichomelea? We ni fundi welding?
Tola mla gizaniTola kivip?
Unapenda vya giza giza kama hujanizoeaaaa🎶Kitu siwezagi ni hayo mataa ya rangi rangi siyapendi labda iwe nyeusi
Hauna picha tuyaoneUsije kuwa unaficha mabaka ya fungus[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Jamani kwema?
Hebu fikiria Kuna mtu anaingia chumbani anafunga mlango,anazima taa,anajifunika shuka,lastly anafumba na macho kabisaaaaa !!Sasa najiuliza ni kupenda Sana giza au Aina Fulani ya kuwanga?
Jamani Raha ya kuwa wawili chumbani muonane..
Idd Mubarak.