Punguzeni kuwanga jamani

Punguzeni kuwanga jamani

Nakazia tu kwenye taa... muwe na taa yenye mwanga mdogo sana au mwanga wa Rangi rangi kama blue au green...

mambo ya kuangaliana usoni Direct kama majogoo yanayogombana hapana😅😅

ikufikie Jeep rubicon
 
kuna watu tuna macho makali mwanga kidogo tunaona vizuri tu.

😂 nisijemuona mtoto wa watu anavyogeuza macho akiugulia utamu wa dushe nikaanza kumcheka bure
Unapata wapi muda wa kucheka!kuwa serious ukiwa kazini tafadhali😄😄😄
 
Nakazia tu kwenye taa... muwe na taa yenye mwanga mdogo sana au mwanga wa Rangi rangi kama blue au green...

mambo ya kuangaliana usoni Direct kama majogoo yanayogombana hapana😅😅

ikufikie Jeep rubicon
Kuna zile lampshade za kuregulate mwanga,Unyama mwingi Sana!
 
Jamani kwema?

Hebu fikiria Kuna mtu anaingia chumbani anafunga mlango,anazima taa,anajifunika shuka,lastly anafumba na macho kabisaaaaa !!Sasa najiuliza ni kupenda Sana giza au Aina Fulani ya kuwanga?

Jamani Raha ya kuwa wawili chumbani muonane..

Idd Mubarak.
acha kutuonea wivu weweeee
 
Jamani kwema?

Hebu fikiria Kuna mtu anaingia chumbani anafunga mlango,anazima taa,anajifunika shuka,lastly anafumba na macho kabisaaaaa !!Sasa najiuliza ni kupenda Sana giza au Aina Fulani ya kuwanga?

Jamani Raha ya kuwa wawili chumbani muonane..

Idd Mubarak.
🤣🤣🤣🤣 Wee unataka kuona jinsi mbusus yako inavyomeza mwenzie🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom