Punguzeni kuwanga jamani

Punguzeni kuwanga jamani

Sisi tunaokaa nyumba za giza tunakomenti wapi, au ndo tulale na vibatari
 
Wengine miili yetu makovu kibao kama tumechomelewaa, ukijumlisha na ile tetekuwanga nliopona naanzaje kukaa kwenye mwanga😂
 
Back
Top Bottom