Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Yani atakoma mbona 😂Ndio poa,utani utani inaongeza genye
Kuna siku nkasema nsije nkaua mtoto wa watu maana macho yaligeuzwa yale sihawahi kuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani atakoma mbona 😂Ndio poa,utani utani inaongeza genye
Tamu mpaka pale unapokutana na hii baada ya kumalizana na kuwasha taa😂Giza tamu 😁
Hakika japo ni kwa ninaempenda tuHiyo ndio Raha ya mwanga...
Mimi huwa nawasha mshumaa...Kuna zile lampshade za kuregulate mwanga,Unyama mwingi Sana!
😂 si masilaha ya kivita yanatumika haina shida kikubwa ni kutimiza hajaUsiyempenda unapiga gizani chap kwa haraka!
Alifosi mnoJamani kwema?
Hebu fikiria Kuna mtu anaingia chumbani anafunga mlango,anazima taa,anajifunika shuka,lastly anafumba na macho kabisaaaaa !!Sasa najiuliza ni kupenda Sana giza au Aina Fulani ya kuwanga?
Jamani Raha ya kuwa wawili chumbani muonane..
Idd Mubarak.
Huko unakosikiaga, rudi wakueleze vizuriMbona nasikia kuwa wewe ni Miss Bantu la haja, unaanzaje kujificha gizani tena kama wale wanaojaladia masponchi au zile taiti za michongo?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Heeee
Aisee una maneno wee mwanamke. Anayekudinya ana bahati sana🤣🤣🤣Nione vitu vinasimama Dede bila miguu
🤣🤣🤣He ulikutana na vigodoro ama?Alifosi mno
Baby zima taa mshua nkasema haina shda taa ikazimwa,mtoto sura kama wema sepetu,tuko room sasambua nguo zote kuna kasauti kakasema nenda toilet.
Naenda toilet ile natoka nawasha taa bahat mbaya mama mama mama dah mizuka yote ilikata hapo hapo nkaenda nunua maji nje ndo mazma
We acha tu but mpaka leo mtu anambie sjui zima taa skubali hata kwa dawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]He ulikutana na vigodoro ama?