Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
ni wakati wa kushinikiza ili tupatiwe ufafanuzi wa kodi tunazolipa.isije ikawa tunalipa kodi mara mbili au zaidi katika suala moja yaani umeme!
kwa niaba ya wafanyakazi nchini napenda kuwasilisha maombi maalum ya kujua matumizi ya kodi ya PAYE kama ilivyokuwa kwa kodi mpya ya simcards.
Ni vyema tukaambiwa ni % ngapi ya PAYE inakwenda kwenye afya,elimu,miundombinu,maji,nishati n.k

Kwa hiyo kodi hii ya simcard haitaingizwa kwenye hilo fuko?Na huo umeme vijijini tutachangia kwa miaka mingapi?Mkuu naddhani unahitaji somo la utaratibu wa mapato na matumizi ya serikali. Pesa zote zinazokusanywa na serikali toka vyanzo mbalimbali kama vile kodi ya PAYE, ushuru wa forodha, nk. huwekwa kwenye fuko kuu la serikali (consolidated Fund) na toka humo basi matumizi hufanywa. Angalia mapato na matumizi ya serikali (Budget).
kwa niaba ya wafanyakazi nchini napenda kuwasilisha maombi maalum ya kujua matumizi ya kodi ya PAYE kama ilivyokuwa kwa kodi mpya ya simcards.
Ni vyema tukaambiwa ni % ngapi ya PAYE inakwenda kwenye afya,elimu,miundombinu,maji,nishati n.k
kwa maana hii serikali haijui kuna wafanyakazi wangapi na kodi wanayotakiwa kukatwa,yaani ni kanyaga twende tu.hebu nipe ufafanuzi mkuuMkuu naddhani unahitaji somo la utaratibu wa mapato na matumizi ya serikali. Pesa zote zinazokusanywa na serikali toka vyanzo mbalimbali kama vile kodi ya PAYE, ushuru wa forodha, nk. huwekwa kwenye fuko kuu la serikali (consolidated Fund) na toka humo basi matumizi hufanywa. Angalia mapato na matumizi ya serikali (Budget).
Mkuu usijiumize kichwa, usitegemee Pinda atakuambia kitu kilichokwenda shule hata siku moja....naye yule ni janga lingine la taifa kwani hajuwi akifanyacho na haelewi nini anachokisema. Kwa kifupi, pole sana.
Kwa hiyo kodi hii ya simcard haitaingizwa kwenye hilo fuko?Na huo umeme vijijini tutachangia kwa miaka mingapi?
Naomba ufafanuzi au kama unavyoita 'somo'
Kuhusu kodi.
Kodi ni msingi wa maendeleo. Kulipa kodi ni jambo la kizalendo.
Wafanyakazi wasililie kufutiwa kodi. Wafanyakazi walilie kuona kodi yao ikitumiwa kwa manufaa yaliyodhamiriwa.
Wale wasiolipa kodi wasiigwe. Wafanyakazi wasitake kusamehewa kama wanasiasa. Wafanyakazi wasisitize kuwa wanasiasa nao walipe kodi.
Kila mtu akikimbia kodi, uchumi utazorota.