Kaachonjo
Hoja ni kwamba lengo la kupunguza PAYE ni kumpunguzia mfanyakazi mzigo, je ni mzigo gani unapunguzwa ku kuongezeka sh 1900 kwenye mshahara wa mtanzania yeyote yule ?
Busara ingekuwa kutopunguza , kwa maana 1900 mara lundo la wafanyakazi mfano 1000,000 ni 1.9 billion hizi zingetosha kununua vitanda kadhaa kwenye wodi za wazazi na kuondoa adha yavkuwalaza akina mama wanaojifungua chini!
Huu ni uamuzi wa kisiasa lengo ni kutekeleza ahadi ya JK kwa kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa .wala hakuna busara iliyotumika hapo