Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akiitisha mgomo utam-support au ndo ule woga wa mtanzania unaoambatana na "fikra za hayanihusu!" Mgomo wa Barrick Gold ulitufundisha hulka ya Mtanzania kwamba ni mwoga! Pia mgomo wa madaktari Muhimbili, Mwambepande tu iliwanyamazisha! Usiwatupie lawama viongozi tu, jiulize kama upo tayari kwa mkong'oto kutokaa wenye nchi?
je hapa ndio wametupinguzia makali ?
Kaachonjo
Hoja ni kwamba lengo la kupunguza PAYE ni kumpunguzia mfanyakazi mzigo, je ni mzigo gani unapunguzwa ku kuongezeka sh 1900 kwenye mshahara wa mtanzania yeyote yule ?
Busara ingekuwa kutopunguza , kwa maana 1900 mara lundo la wafanyakazi mfano 1000,000 ni 1.9 billion hizi zingetosha kununua vitanda kadhaa kwenye wodi za wazazi na kuondoa adha yavkuwalaza akina mama wanaojifungua chini!
Huu ni uamuzi wa kisiasa lengo ni kutekeleza ahadi ya JK kwa kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa .wala hakuna busara iliyotumika hapo
Akili yako ni fupi sana. Unajua hiyo 1000 iliwafanya watu waende mahakamani kupinga #simcard tax. Kwa jumla ya PAYE xote ni pesa nyingi.