Kulikuwa na matarajio makubwa kuwa PAYE ingepungua kwa kiasi kikubwa kwa sababu ilikuwa ni ahadi ya Mh Rais mwenyewe aliyoitoa kule Mbeya. Kwa punguzo hili sidhani hata kama kulikuwa na sababu ya kuwatangazia wafanyakazi kuwa PAYE itapungua.
Angalia jedwali hapa chini (mapato ni kwa Mwaka).
[TABLE="width: 431"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Viwango vya Sasa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Viwango vya sasa Jumla ya Mapato
[/TD]
[TD]Kiwango cha Kodi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mapato ya jumla yasiyozidi Shilingi 2,040,000/=
[/TD]
[TD]Asilimia sifuri (0%)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mapato ya jumla yanayozidi Shilingi 2,040,000 lakini hayazidi shilingi 4,320,000/=
[/TD]
[TD]14% ya kiasi kinachozidi Shilingi 2,040,000/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mapato ya jumla yanayozidi Shilingi 4,320,000/= lakini hayazidi shilingi 6,480,000/=
[/TD]
[TD]Shilingi 319,200/= + 20% ya kiasi kinachozidi Shilingi 4,320,000/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mapato ya jumla yanayozidi Shilingi 6,480,000/= lakini hayazidi shilingi 8,640,000/=
[/TD]
[TD]Shilingi 751,200/= + 25% ya kiasi kinachozidi Shilingi 6,480,000/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mapato ya jumla yanayozidi Shilingi 8,640,000/=
[/TD]
[TD]Shilingi 1,291,200/= + 30% ya kiasi kinachozidi Shilingi 8,640,000/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Viwango vinavyopendekezwa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Jumla ya Mapato [/TD]
[TD]Kiwango cha Kodi [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mapato ya jumla yasiyozidi Shilingi 2,040,000/=
[/TD]
[TD]Asilimia sifuri (0%)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mapato ya jumla yanayozidi Shilingi 2,040,000 lakini hayazidi shilingi 4,320,000/=
[/TD]
[TD]13% ya kiasi kinachozidi Shilingi 2,040,000/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mapato ya jumla yanayozidi Shilingi 4,320,000/= lakini hayazidi shilingi 6,480,000/=
[/TD]
[TD]Shilingi 296,400/= + 20% ya kiasi kinachozidi Shilingi 4,320,000/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mapato ya jumla yanayozidi Shilingi 6,480,000/= lakini hayazidi shilingi 8,640,000/=
[/TD]
[TD]Shilingi 728,400/= + 25% ya kiasi kinachozidi Shilingi 6,480,000/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mapato ya jumla yanayozidi Shilingi 8,640,000/=
[/TD]
[TD]Shilingi 1,268,400/= + 30% ya kiasi kinachozidi Shilingi 8,640,000/=
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]