Mkuu
Naona unaleta siasa za kupinga kila kitu kilicho tofauti na Chama chako
Sie wengine sio wanachama wa chama chochote na tulimpigia kura Raisi Wetu , kwa maana alituahidi kupata maisha bora kwa kila Mtanzania
Nauliza ? Je ni kweli kumpunguzia mfanyakazia kodi ya sh 1900 kunamletea nafuu yoyote ili hali ,mfumuko wa bei haujadhibitiwa , Kodi za simu zimeongezeka.
Huyu huyu mfanyakazi atapoteza asilimia 18 ya mapato yake yote kwenye kila anachonunua kwa kupitia VAT
Kwa hiyo mtu mwenye Gloss ya 3,023,000/= anakatwa kodi ya 704,010/= sawa na 24% ya msharaha wote ,juu ya hapo 18% ya mapato ya huyu mtu analipa kodi kupitia VAT
kwa hiyo jumla ya mapato yanapokwa na serikali kwa mgongo wa kodi ni 42% ya mashahara wote
Mfanya kazi huyo analipa paye zaidi ya 8,400,000 , niambieni ni mfanayabiashara gania anayelipa kodi kama hii ?
Waziri amekiri mwenyewe kwamba PAYE na VAT ndio vinachagia 80% ya mapato yote , inamaaan mfanyakazia nchi hii ndie anayenyonwywa kugharimia serikali inayoponda mali ya Tanzania