dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
π€«Wahi sasa ujipatie ofa kabambe...
Infinix hot 10
Ram 4
Memory 32
Location zanzibar
Mikoa yote tunatuma kwa gharama zako..karibuni
View attachment 2119717
Mbona kwenye picha memory ni 64?Memory gb32
Ram 4
Condition NEW kwenye box lake
Zipo nyingi
Karibuni
Mikoan tunatuma kwa gharama zako
Namba zipo hapo
View attachment 2119715
Mawasiliano yako wapi?Memory gb32
Ram 4
Condition NEW kwenye box lake
Zipo nyingi
Karibuni
Mikoan tunatuma kwa gharama zako
Namba zipo hapo
View attachment 2119715
Mimi mahitaji simu nzuri infinix mpya. Nipigie 0754 279035Mawasiliano yako wspi?
Mimi sina nilikuwa naulizia mawasiliano ya mtoa madamimi mahitaji simu nzuri infinix mpya.nipigie 0754 279035
we unatumia simu gani?Infinix ni simu za watu wa manyara kama wamburu .wamang'ati na watindiga...nikimuona mtu anatumia infinix huwa namdharau sana
Samsung mkuuwe unatumia simu gani?
ohooLocation zanzibar
He he hee,Msijaribu kuagiza ndio wezi wenyewe hawa wanajidai wapo zanzibar kumbe kariakoo hapa,nyie mpk Instagram mpo na page zenu zipo sponsored,mmeliza watu wengi sana nyie wapuuziWahi sasa ujipatie ofa kabambe...
Infinix hot 10
Ram 4
Memory 32
Location zanzibar
Mikoa yote tunatuma kwa gharama zako..karibuni
View attachment 2119717
Unaona hio location yao kwanza? Zanzibar ππππAtakayelizwa atujuze mazeee
Nakazia Ndugu ZanguAtakayelizwa atujuze mazeee