Punyeto ina madhara makubwa sana. Achana na hawa watu wa mitandaoni watakupotosha ni suala la muda na wao watakuja kulia. Hiyo kutokujiamini ipo sana, sasa kuna spiritual effects hizo ni mbaya zaidi. Kuna demons wanajiattach kwako kila unapopiga, unapata negative energy, na unavyozidi kupiga unazidi kuzama. Una attract mikosi na bahati mbaya, utachukiwa bila sababu kwa kuangaliwa tu. Sababu kuna nuru unaikosa ukiwa unapiga sana punyeto. Weka dhamira, mshiriishe Mungu. Acha kabisa kuangalia porn au picha mbaya za instagram ,jiepushe kabisa. Weka malengo madogo kwanza. Mfano anza na siku 30. Ukifanikiwa jipongeze.
Punyeto itakuweka mbali na watu, utashindwa kuwa na mahusiano ya aina yoyote, ya kikazi, kijamii, kimapenzi. Utakuwa mtu wa hovyo.
Kwa kuwa punyeto inaleta 'instant' gratification, yani unapata raha haraka unapojiskia. Mwili unazoea hivyo na utakosa uwezo wa kuwa na subira na mipangilio katika maisha, utashindwa kusave pesa, kuvumilia mpenzi, utakuwa unareact very bad ,na decision making very poor. Mwisho utachomwa moto kwa imani zetu.