Punyeto: Kila unachopaswa kujua

Ivi kupiga punyeto Kupita kiasi Nikwamba Unapigaje Yani Kwamba Kwasiku Bao 7
 
Ivi kupiga punyeto Kupita kiasi Nikwamba Unapigaje Yani Kwamba Kwasiku Bao 7
Kama ukipiga mara 7 kwa siku pia ni upigaji wa punyeto kupita kiasi.
Kuna watu wanapiga puchu kila siku mara 2 Hadi 5, hii pia ni kupiga punyeto kupita kiasi. Kuna wengine hawaruki hata siku moja au wanaruka siku chache sana. Hii ni dalili za kuwa umeshakuwa addicted

Watu waliokuwa addicted wanapiga punyeto kupita kiasi
 
Mara nyingi kwenye nyeto inaanzia ngapi mtoa mada?
 
Kama mada inavyosema punyeto ni Gereza na Haina mlango wa kutokea.Punyeto ni kitendo Cha kujisisimua sehemu zako za Siri Kwa kujishika shika mpaka kufika kileleni.

Nimekuja kugundua ni Vijana wengi walioathirika na tatizo hili na kibaya zaidi wameshindwa kuacha hii tabia.Wengi wao wamejaribu kuacha lakini wamejikuta mara Kwa mara wameanguka Tena na Tena.Zifuatazo ni baadhi ya maneno ya shuhuda za watu waliojaribu kuacha punyeto;

Mtu wa;

1 “Yaani sijui kama nitaweza kuacha”

2 “Miaka mitano sasahivi na sijui lini itakuwa end”

3 “Huwa Kuna wakati najiwekea Hadi tarehe kwamba kuanzia siku Fulani naacha lakini ikipita tu hiyo siku the following day najikuta Natamani kupiga punyeto najaribu kujizuia lakini nashindwa”

4 “Huwa hamu ikinipata napiga Hadi magoti kusali lakini Bado najikuta nimeanguka”

5 “Sidhani kama ntaacha sahivi nimepunguza”

6 “Huwezi ukaacha punyeto Mimi nilijaribu nimeshindwa”

7 “Huwa kabla sijaacha najiambia napiga ya mwisho alafu sipigi Tena zikipita wiki Tatu tu najikuta nimerudi kwenye anguko langu”

Shuhuda Kwa wanandoa waliooa

Mtu wa;

1 “Sisikii raha yoyote nikifanya mapenzi na mume wangu nashindwa kuelewa raha ya mapenzi”

2 “Nikimgusa mke wangu kuanza kumuandaa nina ejaculate hapo hapo na nikiendelea sichukui dakika mbili namaliza na siwezi simamisha tena”

3 “Nimetumia muda mrefu Sana kuacha punyeto lakini nilivyoingia kwenye ndoa nikajikuta Sina nguvu za kiume na kukojoa natumia dakika 2 tu na uume unalala kabisa nimetumia dawa nyingi lakini Bado hazijanisaidia mpaka mke ameniacha”

4 “Sina mtoto naona nishaadhirika”

PUNYETO NI MBAYA SANA NA KIBAYA ZAIDI YAWEZEKANA LABDA HAMNA TIBA KILA MTU ALIEPO KWENYE HILI GEREZA HAONI MLANGO WA KUTOKEA NI GIZA TU MBELE YAKE

KATAA PUNYETO

KATAA KUJICHUA

WANAWAKE NI WENGI

WANAUME NI WENGI USIJUCHUKULIE SHERIA MKONONI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…