Kama mada inavyosema punyeto ni Gereza na Haina mlango wa kutokea.Punyeto ni kitendo Cha kujisisimua sehemu zako za Siri Kwa kujishika shika mpaka kufika kileleni.
Nimekuja kugundua ni Vijana wengi walioathirika na tatizo hili na kibaya zaidi wameshindwa kuacha hii tabia.Wengi wao wamejaribu kuacha lakini wamejikuta mara Kwa mara wameanguka Tena na Tena.Zifuatazo ni baadhi ya maneno ya shuhuda za watu waliojaribu kuacha punyeto;
Mtu wa;
1 “Yaani sijui kama nitaweza kuacha”
2 “Miaka mitano sasahivi na sijui lini itakuwa end”
3 “Huwa Kuna wakati najiwekea Hadi tarehe kwamba kuanzia siku Fulani naacha lakini ikipita tu hiyo siku the following day najikuta Natamani kupiga punyeto najaribu kujizuia lakini nashindwa”
4 “Huwa hamu ikinipata napiga Hadi magoti kusali lakini Bado najikuta nimeanguka”
5 “Sidhani kama ntaacha sahivi nimepunguza”
6 “Huwezi ukaacha punyeto Mimi nilijaribu nimeshindwa”
7 “Huwa kabla sijaacha najiambia napiga ya mwisho alafu sipigi Tena zikipita wiki Tatu tu najikuta nimerudi kwenye anguko langu”
Shuhuda Kwa wanandoa waliooa
Mtu wa;
1 “Sisikii raha yoyote nikifanya mapenzi na mume wangu nashindwa kuelewa raha ya mapenzi”
2 “Nikimgusa mke wangu kuanza kumuandaa nina ejaculate hapo hapo na nikiendelea sichukui dakika mbili namaliza na siwezi simamisha tena”
3 “Nimetumia muda mrefu Sana kuacha punyeto lakini nilivyoingia kwenye ndoa nikajikuta Sina nguvu za kiume na kukojoa natumia dakika 2 tu na uume unalala kabisa nimetumia dawa nyingi lakini Bado hazijanisaidia mpaka mke ameniacha”
4 “Sina mtoto naona nishaadhirika”
PUNYETO NI MBAYA SANA NA KIBAYA ZAIDI YAWEZEKANA LABDA HAMNA TIBA KILA MTU ALIEPO KWENYE HILI GEREZA HAONI MLANGO WA KUTOKEA NI GIZA TU MBELE YAKE
KATAA PUNYETO
KATAA KUJICHUA
WANAWAKE NI WENGI
WANAUME NI WENGI USIJUCHUKULIE SHERIA MKONONI