Punyeto: Kila unachopaswa kujua

Punyeto: Kila unachopaswa kujua

Enzi hizo mimi nilikuwa naingia porno site kujifariji na wanawake wazuri zaidi mwisho wa siku naishia kujimaliza na kimoja
Huko Kuna hadi mapepo Kuna style zinafanywa huwezi kuja kuzifikiria wanakutumia mapepo ya kukushawishi Kujichua utajikuta umeanza kujishika mara pwaaaaaaaa
 
Inawezekana Ila kuacha kumwaga mbegu haiwezekani utamwaga tu hata usipopiga nyenze, zitamwagika zenyewe
Ndio kumwaga mbegu ni lazima, shida ni hizo hisia za kumwaga zinatokana na nini? Hisia za real sex hazina shida, na hisia za wet dream pia hazina shida. Shida ni hisia za punyeto. Kumwaga mbegu kwa kutumia punyeto hii inaathiri sana mzee
 
Ndio kumwaga mbegu ni lazima, shida ni hizo hisia za kumwaga zinatokana na nini? Hisia za real sex hazina shida, na hisia za wet dream pia hazina shida. Shida ni hisia za punyeto. Kumwaga mbegu kwa kutumia punyeto hii inaathiri sana mzee
Ina athiri kivipi dashboard inasoma 360 we unataka uende 400 unategemea nini ?
 
Huko Kuna hadi mapepo Kuna style zinafanywa huwezi kuja kuzifikiria wanakutumia mapepo ya kukushawishi Kujichua utajikuta umeanza kujishika mara pwaaaaaaaa
Dahh acha kabisa, nilikuwa nasema leo nitaangalia tu sita masterbate kabisa unakuja kustuka umeshazimwaga pwaaaa 😂 😂 😂
 
Kama mada inavyosema punyeto ni Gereza na Haina mlango wa kutokea.Punyeto ni kitendo Cha kujisisimua sehemu zako za Siri Kwa kujishika shika mpaka kufika kileleni.

Nimekuja kugundua ni Vijana wengi walioathirika na tatizo hili na kibaya zaidi wameshindwa kuacha hii tabia.Wengi wao wamejaribu kuacha lakini wamejikuta mara Kwa mara wameanguka Tena na Tena.Zifuatazo ni baadhi ya maneno ya shuhuda za watu waliojaribu kuacha punyeto;

Mtu wa;

1 “Yaani sijui kama nitaweza kuacha”

2 “Miaka mitano sasahivi na sijui lini itakuwa end”

3 “Huwa Kuna wakati najiwekea Hadi tarehe kwamba kuanzia siku Fulani naacha lakini ikipita tu hiyo siku the following day najikuta Natamani kupiga punyeto najaribu kujizuia lakini nashindwa”

4 “Huwa hamu ikinipata napiga Hadi magoti kusali lakini Bado najikuta nimeanguka”

5 “Sidhani kama ntaacha sahivi nimepunguza”

6 “Huwezi ukaacha punyeto Mimi nilijaribu nimeshindwa”

7 “Huwa kabla sijaacha najiambia napiga ya mwisho alafu sipigi Tena zikipita wiki Tatu tu najikuta nimerudi kwenye anguko langu”

Shuhuda Kwa wanandoa waliooa

Mtu wa;

1 “Sisikii raha yoyote nikifanya mapenzi na mume wangu nashindwa kuelewa raha ya mapenzi”

2 “Nikimgusa mke wangu kuanza kumuandaa nina ejaculate hapo hapo na nikiendelea sichukui dakika mbili namaliza na siwezi simamisha tena”

3 “Nimetumia muda mrefu Sana kuacha punyeto lakini nilivyoingia kwenye ndoa nikajikuta Sina nguvu za kiume na kukojoa natumia dakika 2 tu na uume unalala kabisa nimetumia dawa nyingi lakini Bado hazijanisaidia mpaka mke ameniacha”

4 “Sina mtoto naona nishaadhirika”

PUNYETO NI MBAYA SANA NA KIBAYA ZAIDI YAWEZEKANA LABDA HAMNA TIBA KILA MTU ALIEPO KWENYE HILI GEREZA HAONI MLANGO WA KUTOKEA NI GIZA TU MBELE YAKE

KATAA PUNYETO

KATAA KUJICHUA

WANAWAKE NI WENGI

WANAUME NI WENGI USIJUCHUKULIE SHERIA MKONONI
Kikubwa usiwe mlevi wa punyeto na ujitahidi kula vizur otherwise unamatatizo mengine
 
Dahh acha kabisa, nilikuwa nasema leo nitaangalia tu sita masterbate kabisa unakuja kustuka umeshazimwaga pwaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hadi Instagram ni ya kuwa nayo makini Sana mpiga puchu hatakiwi kuachiwa kabisa.Kuna jamaa alikuwa anasema mtaani akikutana na manzi kavaa ovyo paja Hilo na Tako anafuata tu anakuja kushtuka anasahau alipokuwa anaenda
 
Labda haujawai kuona madhara yake ila mimi baada ya kuacha niliona utofauti mkubwa sana. Cha kwanza kabisa nilipoteza hisia na hawa wanawake wa mtaani
Ina athiri kivipi dashboard inasoma 360 we unataka uende 400 unategemea nini ?
 
Uza smartphone, laptop yaana usiwe na access na internet kama uko na CD za d'ass vunja
Kama haujadhamiria kuacha hata ukiuza na kuvunja cds kuna siku utazitafuta tuu.
Addiction ya porno ni hatari sana haitaji kutumia nguvu sana.

Au utaacha siku ikikutia aibu ambayo haielezeki ndio utaacha
 
Tatizo ndyo linaanzia hapo yaani ukishaanza punyeto Kwa mara ya kwanza pona Yako upate mwanamke la Sivyo hiyo dhambi inakumeza BIla huruma
Mzee yaani unaweza kuwa chaputa addicted na bado isikuharibie saana kupiga show... yaani mfano nyakati flani nilikua nagonga demu mpaka nakojoa hewa na bado sikati kiu ya chaputa inabidi nitafute namna nigonge chaputa japo kwa mateso ndo ni lale otherwise usingizi ilikua ishu kupata... so chaputa inataka mlo mzuri haitaki fast food ukiforce lazima uwe bwabwa
 
Back
Top Bottom