Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapotosha watu ubwa wewNapiga Nyeto mara 4 kwa siku kila siku
Mafuta ni BabyCare, napiga mda wowote ule bila kupangiwa wala kususiwa wala kubaniwa miguu
UTI, Gono, Kaswende na Ngwengwe zenu bakini nazo wenyewe
ndiyo mara nne,Mara 4?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamiliki drones ngapi? au we ni nyuki dume? jina lako linamaanisha nn
drone = nyuki dume[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamiliki drones ngapi? au we ni nyuki dume? jina lako linamaanisha nn
@dronedrake ata support hiliHakuna jibu la moja kwa moja kwa hii hoja kwani kila mtu anaweza kuathirika tofauti na mwingine. Hata hivyo, kwa kawaida, kupiga punyeto (masturbation) kwa kiwango kisicho cha kupita kiasi haimfanyi mtu kuwa na matatizo ya kiafya.
Kupiga punyeto ni kitendo cha kawaida cha kujamiiana binafsi kinachofanywa na wanaume na wanawake sawa. Ni njia salama ya kujiondoa katika hisia za ngono na kujipatia utulivu wa kihisia. Kwa wanaume, kupiga punyeto mara nyingi haimaanishi kuwa wataathirika kiafya, isipokuwa kama wanafanya hivyo kwa kiwango cha kupindukia.
Hata hivyo, wanaume wengine wanaweza kuathirika na kupiga punyeto kwa kiwango cha kupita kiasi. Baadhi ya madhara ambayo yanaweza kutokea kwa wanaume wanaopiga punyeto kupita kiasi ni pamoja na:
Kupungua kwa hamu ya ngono
Matatizo ya kumwaga mapema (premature ejaculation)
Matatizo ya kusimamisha uume (erectile dysfunction)
Maumivu au uvimbe wa uume
Kupungua kwa kiwango cha manii (sperms) katika manii
Ni muhimu kwa kila mtu kujua kuwa, kupiga punyeto ni kitendo cha kawaida, na kama kinawafanya wajisikie vizuri, kinafaa kufanywa kwa kiwango kisicho cha kupita kiasi na kwa njia salama ili kuepuka madhara yoyote ya kiafya.
Kiufupi kama una hii tabia ni vyema zaidi kuacha mara moja kwa sababu ni addictive na ukifanya mara nyingi kupindukia unaweza kupata madhara makubwa. Acheni kupotoshana
Punyeto haijawahi kuwa na madhara pale unapofanya. Ila siku utayoamua kuiacha, ndio utaona madhara yake.Punyeto sijui nilianzaje nilienda kwenyw kigodor nipo form 1 nkacheza na mdada alikua uchi kabisa yan n half sex nikanogewa ndio njozi zikanianza na safari yangu ikaanzia hapo mbaka HIV sasa nmemaliza form 4bado, naacha hadi wik3 lakini nashindwa sababu nna VPN ambayo inasapot porn content ila toka nmeanza kutumia nmeona faida n nying kuliko hasara ila sijasema kua hakuna hasara
Vipi ukiukwaa ndoani?Njia sahihi ya kuacha punyeto ni kuoa. Ukiwa na mwanamke ni rahisi kuacha. Binafsi sisapoti kabisa kununua malaya. Kwenye ngono mambo ni mengi na wengi wetu tukilala na mwanamke mara kadhaa kuna siku unateleza huvai kinga na ndo siku unaukwaa. Majuto ya kuukwaa hayafananishwi na majuto yoyote yale. Kijana anayeweza kuoa aoe. Na kwa wale wanaoweza kuwa na "mpenzi mwaminifu" sio mbaya pia. Ambaye hayuko tayari kuoa kwa sasa apige angalau bao moja tu kwa siku na kuhakikisha anapiga msosi wa maana. Pia asipige kila siku.. Punyeto ya kiasi ni bora kuliko kuparamia malaya. Ndugu dronedrake tunza hela za kuja kutibiwa hicho unachokitafuta.
Mkuu kila jambo linawezekana chini ya jua ila kwa vile vilivyopo ndani ya uwezo wetu tuviepuke.Vipi ukiukwaa ndoani?
bora kuliko kumeza lamivudine mileleNdugu @dronedrake tunza hela za kuja kutibiwa hicho unachokitafuta.
madhara ya kuacha ni nnPunyeto haijawahi kuwa na madhara pale unapofanya. Ila siku utayoamua kuiacha, ndio utaona madhara yake.