Punyeto: Kila unachopaswa kujua

Punyeto: Kila unachopaswa kujua

Hakuna jibu la moja kwa moja kwa hii hoja kwani kila mtu anaweza kuathirika tofauti na mwingine. Hata hivyo, kwa kawaida, kupiga punyeto (masturbation) kwa kiwango kisicho cha kupita kiasi haimfanyi mtu kuwa na matatizo ya kiafya.

Kupiga punyeto ni kitendo cha kawaida cha kujamiiana binafsi kinachofanywa na wanaume na wanawake sawa. Ni njia salama ya kujiondoa katika hisia za ngono na kujipatia utulivu wa kihisia. Kwa wanaume, kupiga punyeto mara nyingi haimaanishi kuwa wataathirika kiafya, isipokuwa kama wanafanya hivyo kwa kiwango cha kupindukia.

Hata hivyo, wanaume wengine wanaweza kuathirika na kupiga punyeto kwa kiwango cha kupita kiasi. Baadhi ya madhara ambayo yanaweza kutokea kwa wanaume wanaopiga punyeto kupita kiasi ni pamoja na:

Kupungua kwa hamu ya ngono
Matatizo ya kumwaga mapema (premature ejaculation)
Matatizo ya kusimamisha uume (erectile dysfunction)
Maumivu au uvimbe wa uume
Kupungua kwa kiwango cha manii (sperms) katika manii
Ni muhimu kwa kila mtu kujua kuwa, kupiga punyeto ni kitendo cha kawaida, na kama kinawafanya wajisikie vizuri, kinafaa kufanywa kwa kiwango kisicho cha kupita kiasi na kwa njia salama ili kuepuka madhara yoyote ya kiafya.

Kiufupi kama una hii tabia ni vyema zaidi kuacha mara moja kwa sababu ni addictive na ukifanya mara nyingi kupindukia unaweza kupata madhara makubwa. Acheni kupotoshana
Ivi kupiga punyeto Kupita kiasi Nikwamba Unapigaje Yani Kwamba Kwasiku Bao 7
 
Ivi kupiga punyeto Kupita kiasi Nikwamba Unapigaje Yani Kwamba Kwasiku Bao 7
Kama ukipiga mara 7 kwa siku pia ni upigaji wa punyeto kupita kiasi.
Kuna watu wanapiga puchu kila siku mara 2 Hadi 5, hii pia ni kupiga punyeto kupita kiasi. Kuna wengine hawaruki hata siku moja au wanaruka siku chache sana. Hii ni dalili za kuwa umeshakuwa addicted

Watu waliokuwa addicted wanapiga punyeto kupita kiasi
 
Mara nyingi kwenye nyeto inaanzia ngapi mtoa mada?
 
Kama mada inavyosema punyeto ni Gereza na Haina mlango wa kutokea.Punyeto ni kitendo Cha kujisisimua sehemu zako za Siri Kwa kujishika shika mpaka kufika kileleni.

Nimekuja kugundua ni Vijana wengi walioathirika na tatizo hili na kibaya zaidi wameshindwa kuacha hii tabia.Wengi wao wamejaribu kuacha lakini wamejikuta mara Kwa mara wameanguka Tena na Tena.Zifuatazo ni baadhi ya maneno ya shuhuda za watu waliojaribu kuacha punyeto;

Mtu wa;

1 “Yaani sijui kama nitaweza kuacha”

2 “Miaka mitano sasahivi na sijui lini itakuwa end”

3 “Huwa Kuna wakati najiwekea Hadi tarehe kwamba kuanzia siku Fulani naacha lakini ikipita tu hiyo siku the following day najikuta Natamani kupiga punyeto najaribu kujizuia lakini nashindwa”

4 “Huwa hamu ikinipata napiga Hadi magoti kusali lakini Bado najikuta nimeanguka”

5 “Sidhani kama ntaacha sahivi nimepunguza”

6 “Huwezi ukaacha punyeto Mimi nilijaribu nimeshindwa”

7 “Huwa kabla sijaacha najiambia napiga ya mwisho alafu sipigi Tena zikipita wiki Tatu tu najikuta nimerudi kwenye anguko langu”

Shuhuda Kwa wanandoa waliooa

Mtu wa;

1 “Sisikii raha yoyote nikifanya mapenzi na mume wangu nashindwa kuelewa raha ya mapenzi”

2 “Nikimgusa mke wangu kuanza kumuandaa nina ejaculate hapo hapo na nikiendelea sichukui dakika mbili namaliza na siwezi simamisha tena”

3 “Nimetumia muda mrefu Sana kuacha punyeto lakini nilivyoingia kwenye ndoa nikajikuta Sina nguvu za kiume na kukojoa natumia dakika 2 tu na uume unalala kabisa nimetumia dawa nyingi lakini Bado hazijanisaidia mpaka mke ameniacha”

4 “Sina mtoto naona nishaadhirika”

PUNYETO NI MBAYA SANA NA KIBAYA ZAIDI YAWEZEKANA LABDA HAMNA TIBA KILA MTU ALIEPO KWENYE HILI GEREZA HAONI MLANGO WA KUTOKEA NI GIZA TU MBELE YAKE

KATAA PUNYETO

KATAA KUJICHUA

WANAWAKE NI WENGI

WANAUME NI WENGI USIJUCHUKULIE SHERIA MKONONI
 
Back
Top Bottom