Punyeto: Kila unachopaswa kujua

Nyeto inatunza kibunda

Nyeto Haina gono, kasendwe, UTI,

Kula nyeto Kwa ujenzi wa Taifa
 
....salamu......

Madogo wa miaka 28 kushuka chini, mmeathirika mno na upigaji wa punyeto... hali inayosababisha muwe na reasoning ndogo mno kwa kuwa mnapoteza protein nyingi

Wengine wanaenda mbali kwa kupiga mpaka mara nne kwa mwezi... mnajimaliza

Siyo punyeto tu, hata ngono ya mara kwa mara kuanzia bao mbili si nzuri kwa afya in a long run!

Ukifanya ngono hovyo, utapoteza protein nyingi na utakuwa na udumavu wa akili. Reasoning yako itakua ndogo

Kwanza kabisaa USILALE UCHI... epuka KULALA UCHIA. Na huu ndiyo mzizi wa uzi huu, ili uache punyeto usilale uchi

Acha porn,usiangalie kabisa
 
....salamu......

Madogo wa miaka 28 kushuka chini, mmeathirika mno na upigaji wa punyeto... hali inayosababisha muwe na reasoning ndogo mno kwa kuwa mnapoteza protein nyingi.....
Tupe reference
 
Faida《Madhara

Note:《= less than
 
Ukweli ni kwamba muscles of the penis imekuwa design kwa ajili ya muscles laini za kwenye vagina hivyo ukitumia mkono wako kujichua,unakuwa unaziharibu hizo muscles
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…