Pure Mathematics (combined edition), mnakionaje hiki kitabu

Pure Mathematics (combined edition), mnakionaje hiki kitabu

The Ape

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
330
Reaction score
475
Salamu wapendwa,

Kuna mambo nataka tuyaweke clear. Leo nimeletewa kitabu cha pure mathematics(combined edition) ya backhouse 1 &2. Kime contain syllabus ya East Africa(Advance Mathematics) in addition wameongeza linear programming na wameondoa topic zisizohusika na syllabus ya East Africa.

At this juncture baada ya kununua pure 1&2 ni vyema ukanunua hiyo moja. Najua wengi mnakijua hivyo nimeona niwajulishe wenzangu wasichokijua nao wanufaike.

Karibu kwa mchango.
 
Salamu wapendwa...kuna mambo nataka tuyaweke clear..Leo nimeletewa kitabu cha pure mathematics(combined edition) ya backhouse 1 &2 kimecontain syllabus ya East Africa(Advance Mathematics) in addition wameongeza linear programming na wameondoa topic zisizohusika na syllabus ya East Africa..At this juncture baada ya kununua pure 1&2 ni vyema ukanunua hiyo moja...Najua wengi mnakijua hivyo nimeona niwajulishe wenzangu wasichokijua nao wanufaike.

Karibu kwa mchango....

michango ipi tena unayoitaka?
 
michango ipi tena unayoitaka?

Kama huo uliotoa wewe...Ndo maana nilitanguliza kwamba wapo weng wanachokijua na wachache wasichokijua..mfano hapa school kwetu,wote ndio mara ya kwanza kukiona...hivyo kwa wale wenzetu waliokitumia wanaweza kuchangia kama kipo poa au ni bora kwa vile vya awali..ukizingatia ukubwa wake ni kama pure 1 pekee halafu kimesheeni pure 1&2..
I hope umenielewa mpendwa ..
 
Asante clement, kwa kuongezea ni vyema kuwa na TRANTER pia, inaweza kuwasaidia.
 
Last edited by a moderator:
Salamu wapendwa...kuna mambo nataka tuyaweke clear..Leo nimeletewa kitabu cha pure mathematics(combined edition) ya backhouse 1 &2 kimecontain syllabus ya East Africa(Advance Mathematics) in addition wameongeza linear programming na wameondoa topic zisizohusika na syllabus ya East Africa..At this juncture baada ya kununua pure 1&2 ni vyema ukanunua hiyo moja...Najua wengi mnakijua hivyo nimeona niwajulishe wenzangu wasichokijua nao wanufaike.

Karibu kwa mchango....

Hiki kitabu mara ya mwisho kukiona ilikua kipindi nipo form6, na sizani/ sikumbuki kama kilikua na linear programming sababu mimi binafsi sikukitumia sana as kilikua kinafanana kabisa na pure 1 na 2 (walikua wamezijumuisha pamoja) ila kama wameongeza na linear si vibaya ukawa nacho au ukaazima!! na kitakusaidia sana kwenye maswali ya linear(hasa ya transport kama yatakuwepo na mifano yake)!! japo bado napata maswali unaposema kuna topics zimetolewa!!
 
Salamu wapendwa...kuna mambo nataka tuyaweke clear..Leo nimeletewa kitabu cha pure mathematics(combined edition) ya backhouse 1 &2 kimecontain syllabus ya East Africa(Advance Mathematics) in addition wameongeza linear programming na wameondoa topic zisizohusika na syllabus ya East Africa..At this juncture baada ya kununua pure 1&2 ni vyema ukanunua hiyo moja...Najua wengi mnakijua hivyo nimeona niwajulishe wenzangu wasichokijua nao wanufaike.

Karibu kwa mchango....

nunua separate ndg yangu.....i hav been there....i know the game very well
 
hyo combined edition iko poa ila cio vbaya ukipata na vtabu vingne kama uwezo utakua nao (tafuta chand) tranter uckiamini sana inaweza kukukatsha tamaa ukajiona hujui ukapoteza confidence,. mm nilisoma pure maths nakumbuka tranter nilisolve integration,, cord 1 na algebra 7bu topic zngne maswal yalikua yananigonga nikahamia kwenye pure na chand mambo yakawa mazuri kdg.... cha msingi komaa tuuu weka target zako vizur mana advance level sio mchezo.. kupiga msuli bila target utapoteza tym 2...,,
 
plz nunua pure 1 na pure 2 cyo combien maana kuna vitu utakosa kama ukinunua combien
 
Kama huo uliotoa wewe...Ndo maana nilitanguliza kwamba wapo weng wanachokijua na wachache wasichokijua..mfano hapa school kwetu,wote ndio mara ya kwanza kukiona...hivyo kwa wale wenzetu waliokitumia wanaweza kuchangia kama kipo poa au ni bora kwa vile vya awali..ukizingatia ukubwa wake ni kama pure 1 pekee halafu kimesheeni pure 1&2..
I hope umenielewa mpendwa ..

Pure 1 & 2, Core Course for Advanced Maths vinatosha kukupa A!!

hayo matranter sijui ni mbwembwe tu!!
 
hiyo pure combined sio nzuri sana..kwa sababu imeondoa vitu vingi sana vya msingi..(kama huamini jaribu kufuatilia utajionea) Ushauri tafuta pure mathematics 1 peke yake na pure mathematics 2 peke yake..

Ushauri mwingine.. Topics kama vectors, probability, linear programming tafadhali sana tafuta kitabu kinaitwa principle's of mathematics by s. Chand for class 12...
 
Back
Top Bottom