Push Up 200 kwa Siku ni hatari kwa Afya!!

Siku hizi napiga jogging 5 km

Kwa week siku 4

Napumzika siku 3

J3 [emoji818]
J4[emoji808]
J5[emoji818]
Alh[emoji808]
Ijm[emoji818]
Jmos[emoji808]
Jpili[emoji818]

Push up huwa nastua angalau 20
siku ambazo napumzika na mengine mepesi

Over[emoji851]
 
Mpangilio upi ni mzuri,wa kufanya zoezi siku moja na kupumzika inayofuata, au unapiga Siku nne mfululizo unapumzika siku tatu mfululizo?
 
mpangilio upi ni mzuri,wa kufanya zoezi siku moja na kupumzika inayofuata, au unapiga Siku nne mfululizo unapumzika siku tatu mfululizo?
Wa kupumzika ni mzuri
Unaupa nafasi mwili wa kurudisha pale palipopungua pia inakuwa kama vile upo gereji

Kukomaa kila siku kuna hatari ya kukumbana na injury za hapa na pale.

Ila wapo wanaofululiza hizo siku nne
Ila hawa mara nyingi ni wazoefu wa mda mrefu

Kama sio mzoefu pumzika baada ya siku.
 
Asante
 
Wapi nimesema ni kweli?nimesema inasemekana ndio maana nikaleta hapa tujadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…