makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Poa fuatiliamh sina uakika kama kupiga push up nyingi kuna sababisha madhara au ndo chanzo cha kupinda mgongo ngoja niafatilie ntaleta mrejesho coz mm mwenyewe ni mpigaji w push up kila siku asubui 50 pamoja na jioni ninapo rudi napiga 50
Mkuu unaijua roba ya mbao?300 per day njoo unikabe utabembea mgongoni
"The guy says, ‘When you work where I work, by the time you get home, it’s late. You’ve got to have a bite to eat, watch a little TV, relax and get to bed. You can’t sit up half the night planning, planning, planning.’ And he’s the same guy who is behind on his car payment!" -- Jim Rohn200 zote hizo unataka tuzo? 50 asubuhi
Ukitoka kwenye mihangaiko 25 kuoga taarifa ya habari mlo "kupumzika kidogo" kulala....
atae nikaba anatakiwa awe kama mm au kanizid kinyume na apo 😎Mkuu unaijua roba ya mbao?
Sawa mkuuatae nikaba anatakiwa awe kama mm au kanizid kinyume na apo 😎
Nenda kwenye kambi za mafunzo utaonaWajeda wa wapi wanaofanya hivyo?
Labda kambi za wasabato.Nenda kwenye kambi za mafunzo utaona