Push Up 200 kwa Siku ni hatari kwa Afya!!

Push Up 200 kwa Siku ni hatari kwa Afya!!

Labda kama hazifanyiki vizuri, mpigaji push up anakosea kukaa,

Vinginevyo napingana na hawa wataalam.

Yaani push up ikafanye mgongo upinde kama ........ Sio kweli.
 
mh sina uakika kama kupiga push up nyingi kuna sababisha madhara au ndo chanzo cha kupinda mgongo ngoja niafatilie ntaleta mrejesho coz mm mwenyewe ni mpigaji w push up kila siku asubui 50 pamoja na jioni ninapo rudi napiga 50
Poa fuatilia
 
Labda kama hazifanyiki vizuri, mpigaji push up anakosea kukaa,

Vinginevyo napingana na hawa wataalam.

Yaani push up ikafanye mgongo upinde kama ........ Sio kweli.
Inawezekana pia
 
200 zote hizo unataka tuzo? 50 asubuhi

Ukitoka kwenye mihangaiko 25 kuoga taarifa ya habari mlo "kupumzika kidogo" kulala....
"The guy says, ‘When you work where I work, by the time you get home, it’s late. You’ve got to have a bite to eat, watch a little TV, relax and get to bed. You can’t sit up half the night planning, planning, planning.’ And he’s the same guy who is behind on his car payment!" -- Jim Rohn
 
Sio kweli (kulinga na uzoefu wangu juu ya hili zoezi)
 
Back
Top Bottom