Putin alia lia kuhusu gharama aliyoingia ili kuwakimu Wagner, nani kamtuma

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kuna wakati Urusi iliwahi kukana uwepo wa kikundi hiki cha Wagner, ila imejikuta ikiwakubali na Putin kukiri hadharani hela alizotumia kukidhi mahitaji yao, hela ndefu sana hadi inamuuma, $1b sio mchezo aisei, mwenyewe kawalea na nusra wamle kichwa, ndivyo huwa kwa watu wanaolea viumbe vya ajabu kama vile nyoka, fisi au wavaa makobaz ambao hulea majini, ipo siku yanakugeukia.

=========

RUSSIAN President Vladimir Putin said on Tuesday (Jun 27) that Moscow had paid out last year just over US$1 billion to the Wagner mercenary group, which last week staged a failed mutiny.

“The state paid to the Wagner group around US$1 billion for salaries for fighters and incentive rewards between May 2022 and May 2023 alone,” Putin said.

He was speaking to defence officials in televised remarks at the start of a meeting.

Russia once denied the very existence of Wagner, a shadowy mercenary army that defends Moscow’s interests with operations in several African and Middle Eastern states.

But since its fighters became one of the mainstays of the Russian offensive in Ukraine, Wagner’s chief – former Kremlin catering contractor Yevgeny Prigozhin – has gone public.

On Saturday, Wagner launched a revolt – ostensibly to resist efforts to fold it into the official ministry of defence structure – seized an army headquarters and marched on Moscow.

Business Times
 
Kama mpaka saizi wanasema marekani ametoa zaidi ya dollar billion 100 na ametenga dollar billion 300 kwaajili kuisaidia Ukraine kivita.

Na ametenga tena billion 200 nyingine kwaajili ya kuijenga Ukraine upya. ikishinda vita. inamaana marekani jumla ametenga dollars billion 500 kwaajili ya kuisaidia Ukraine.

Sasa huyo mbuzi putin analalamika nini kuwapa majambazi wake dollar billion 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…