Putin alia sana kwa daraja kupigwa, asema ni ukatili huo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huyu jamaa akili zake anazijua mwenyewe, kwamba yeye apige lakini asipigwe, akiguswa anasema wanamfanyia ukatili....

July 17 (Reuters) - Russian President Vladimir Putin said on Monday his defence ministry was preparing proposals for a response to an overnight attack that damaged the road bridge linking Crimea to southern Russia, for which he blamed Ukraine.

At the end of a televised video meeting with national and regional officials to assess the consequences of the attack, Putin called it a cruel and senseless act, as he said the bridge "has not been used for military transportation for a long time".
 
Sijaona sehemu aliyolia sana,zaidi nimeona akiahidi majibu kwa tukio hilo!
Kwenye majibu sasa,ndio utawaona vibaraka wakija na haki za binadamu mara ooh war crimes nk!
Subirini majibu,naona Ukraine hajajifunza tu!
 
Kasema "cruel and senseless act"..hehehe na bado tu.
 
Sijaona sehemu aliyolia sana,zaidi nimeona akiahidi majibu kwa tukio hilo!
Kwenye majibu sasa,ndio utawaona vibaraka wakija na haki za binadamu mara ooh war crimes nk!
Subirini majibu,naona Ukraine hajajifunza tu!
Kinachonishangaza kwa putin ni kuwa yeye amechukua maamuzi ya kuivamia Ukraine kwasababu anazozijua yeye uharibifu aliyoufanya ni mkubwa sana kiasi kwamba wafuasi wake hufurahia hayo ila yeye akifanyiwa uharibifu ni kulalamika na kuita ugaidi.

Alichokitegemea ni nini kwenye vita aliyoianzisha??
 
Iko hivyo kwa Mkubwa,anapokuvamia ni heri ukapambana tu eneo la vita na si kushambulia nchini kwake!
Ndio ulimwengu ulivyo!
Angalia ya Israel na Palestina,Palestina akishambulia Israel wanapewa jina la magaidi na wanajibiwa kwa ambush kubwa kweli na US wanatoa silaha hizo kwa mvamizi Israel!
Ni suala tu la maslahi!Kama Russia angekuwa kaivamia Iran,wala wimbo usingekuwa huu wala kuona vikwazo lukuki kwa Russia!
Ni maslahi tu wanayoangalia haya mataifa makubwa!
 
as he said the bridge "has not been used for military transportation for a long time".
Kwani intelijensia ya Ukraine inasemaje? Nafikiri Putin hats Kama daraja halitumiki kijeshi anatakiwa atulie tu,kwani yeye anaposhambulia Kyv, kwenye makazi ya watu pale ni frontline?!Halafu Crimea ni eneo la Ukraine,kwanini yeye anataka liungane na Russia?!!
 
Huyu jamaa akili zake anazijua mwenyewe, kwamba yeye apige lakini asipigwe, akiguswa anasema wanamfanyia ukatili....

July 17 (Reuters) - Russian President Vladimir Putin said on Monday his defence ministry was preparing proposals for a response to an overnight attack that damaged the road bridge linking Crimea to southern Russia, for which he blamed Ukraine.

At the end of a televised video meeting with national and regional officials to assess the consequences of the attack, Putin called it a cruel and senseless act, as he said the bridge "has not been used for military transportation for a long time".
Wewe mshamaliza kuuwana kwenu?
 
Wewe mshamaliza kuuwana kwenu?

Wewe mwanamke shukuru sana unaishi kwenye nchi inayo ongozwa na kutawaliwa kwa mifumo ya mzungu unaoruhusu uandike andike kubishana na wanaume, ungeishi kwenye mataifa yanayofuata maagizo ya yule mwarabu wenu ungeufyata, usingekua unajua hata kusoma na kuandika, tena ungefungiwa ndani ambapo hata kutoka lazima ahusike mwanaume atembee na wewe....hehehe

Halafu jitihada za kuwapa hawa waarabu wajichukulie zimefikia wapi maana niliona unatumia nguvu nyingi sana kuwatetea kisa ni waarabu wakuu wa dini

img-20230701-wa0020-jpg.2675761
 
Nimekuuliza swali, mmemaliza kuuwana kwenu huko?
 
Kwani intelijensia ya Ukraine inasemaje? Nafikiri Putin hats Kama daraja halitumiki kijeshi anatakiwa atulie tu,kwani yeye anaposhambulia Kyv, kwenye makazi ya watu pale ni frontline?!Halafu Crimea ni eneo la Ukraine,kwanini yeye anataka liungane na Russia?!!

Amekua akilitumia sana kijeshi aache uwongo wa kujitetea, ndio kiungo muhimu kwenye shughuli yote na sijui kwanini Ukraine wanalisaza, ilipaswa walipige cruise missiles kama 20 kwa mpigo mpaka livunjike vipande vipande.
Yeye hupiga hadi bembea za chekechea leo analia daraja kupigwa

AA12PT4w.img
 
Uje hapa hapa utupe taarifa baadae mana sasa tutalenga Ikulu Ya Zele na sehemu zingine nyeti sana....msilie tena
 
Drones za Ukraine zinampumulia Putin ikulu, yeye ameshindwa kabisa kupiga Kyiv, kuna zile patriot zinamtesa sana kwa kupangua kila anachotuma huko.
 
Back
Top Bottom