FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hiyo picha kama alipokuwa anauwa makenzi.Amekua akilitumia sana kijeshi aache uwongo wa kujitetea, ndio kiungo muhimu kwenye shughuli yote na sijui kwanini Ukraine wanalisaza, ilipaswa walipige cruise missiles kama 20 kwa mpigo mpaka livunjike vipande vipande.
Yeye hupiga hadi bembea za chekechea leo analia daraja kupigwa
![]()
Hili sakata la kanisa unalosali linaendeleaje, bado tu mnafukuwa maiti shakahola?
Weiterleitungshinweis
www.google.com