Hiyo picha kama alipokuwa anauwa makenzi.Amekua akilitumia sana kijeshi aache uwongo wa kujitetea, ndio kiungo muhimu kwenye shughuli yote na sijui kwanini Ukraine wanalisaza, ilipaswa walipige cruise missiles kama 20 kwa mpigo mpaka livunjike vipande vipande.
Yeye hupiga hadi bembea za chekechea leo analia daraja kupigwa
Hamjamaliza ya shakahola mmeanzisha mauwaji ya Nairobi.Huna uhuru wa kuniuliza maana haujapewa ruhusa kidini...heheh unapaswa ufungiwe ndani
Hiyo picha kama alipokuwa anauwa makenzi.
Hili sakata la kanisa unalosali linaendeleaje, bado tu mnafukuwa maiti shakahola?
Hamjamaliza ya shakahola mmeanzisha mauwaji ya Nairobi.
Nimesoma sehemu, wanafunzi saba tayari mmewatowa mhanga.