Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema uhusiano kati ya nchi yake na Marekani baada ya uchaguzi wa rais wa Marekani utategemea mtazamo wa nchi hiyo, huku akiyapongeza maoni ya Donald Trump kuhusu nia yake ya kuumaliza mzozo wa Urusi na Ukraine.
Putin ameyasema hayo wakati mzozo kati ya nchi yake na Ukraine ukizidi kufukuta.
Soma Pia: Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Nadhani huyu mbabe amejifunza kitu. kwa sasa hasemi tena operation. Anasema ni vita. mara ya kwanza alisema anaenda Ukraine kufanya operation. kama kutumbua tu chunusi. sasa chunusi imekuwa kijipu uchungu. amechoka.
Putin ameyasema hayo wakati mzozo kati ya nchi yake na Ukraine ukizidi kufukuta.
Soma Pia: Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?