Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Usiseme hivyo bob. Huyu ni mwamba wa Dunia...ni Taifa Kubwa sana.Putin kiongozi wa hovyo sana
Kwani alihojiwa akiwa wapi?Hakuna media wala gazeti la Urusi litaandika habari kama hizii, labda kama hawajipendi
Kwani Putin alishawahi kuwa kikwazo cha kumaliza vita hapo Ukraine? Issue si US anachotaka amshinde Urusi na asitimize matakwa yao au?View attachment 3135072
NADHANI HUYU MBABE AMEJIFUNZA KITU. KWA SASA HASEMI TENA OPERATION. ANASEMA NI VITA. MARA YA KWANZA ALISEMA ANAENDA UKRAINE KUFANYA OPERATION. KAMA KUTUMBUA TU CHUNUSI. SASA CHUNUSI IMEKUWA KIJIPU UCHUNGU. AMECHOKA.
Umedanganya. Russia amekuwa exposed sasa anasaidiwa mpaka na Korea na Irani. NATO WANATAKA VITA IENDELEE RUSSIA IDHOOFIKE ZAID.PUTIN MPAKA ALIKUWA ANA KODI WANAJESHI NA ALIPONEA KUPINDULIWA NA WAGNER. AU WEWE UNASUBIRI USIMULIWE NA SHEIKH KITINKU?Russia hata ikisimama leo vita wamefanukiwa pakubwa kwenye kile walisema kuipunguza nguvu kijeshi Ukraine.
Hata hivyo narudia tena kusema, Russia ikiishambulia Ukraine kama Israel inachofanya Gaza kutokujali uhai wa raia Zelensky hivi sasa angekuwa anaishi Washington DC na familia yake kama wakimbizi wa kivita na kisiasa.
NATO uoga umewaingia kufahamu kwamba Russia ina uwezo kiasi hiko, misaada, askari intel n.k lakini bado hawajaidhoofisha Russia kama walivyodhani.
Nchi moja inapambana na nchi 32, si mchezo.
Ulitaka tbc ndio wamuhoji ili uamini sio?Kwani alihojiwa akiwa wapi?
Acha uwongo dada! Kinachomshinda ni kipi kufanya hicho unasema?Russia hata ikisimama leo vita wamefanukiwa pakubwa kwenye kile walisema kuipunguza nguvu kijeshi Ukraine.
Hata hivyo narudia tena kusema, Russia ikiishambulia Ukraine kama Israel inachofanya Gaza kutokujali uhai wa raia Zelensky hivi sasa angekuwa anaishi Washington DC na familia yake kama wakimbizi wa kivita na kisiasa.
NATO uoga umewaingia kufahamu kwamba Russia ina uwezo kiasi hiko, misaada, askari intel n.k lakini bado hawajaidhoofisha Russia kama walivyodhani.
Nchi moja inapambana na nchi 32, si mchezo.
Weka ushahidi kuwa Urusi inapambana na nchi 32, mbona wapumbavu hawaishi duniani? Askari Gani wa NATO waliotumwa kwenda kupigana Ukraine? Urusi katuma silaha pamoja na S400 kule Iran kwahyo Urusi inapigana na Israel?Russia hata ikisimama leo vita wamefanukiwa pakubwa kwenye kile walisema kuipunguza nguvu kijeshi Ukraine.
Hata hivyo narudia tena kusema, Russia ikiishambulia Ukraine kama Israel inachofanya Gaza kutokujali uhai wa raia Zelensky hivi sasa angekuwa anaishi Washington DC na familia yake kama wakimbizi wa kivita na kisiasa.
NATO uoga umewaingia kufahamu kwamba Russia ina uwezo kiasi hiko, misaada, askari intel n.k lakini bado hawajaidhoofisha Russia kama walivyodhani.
Nchi moja inapambana na nchi 32, si mchezo.
Umesahau hapo juzi kati mwaka jana NATO ilipoweka kichwa ngumu, Putin mwenyewe akatangaza kwamba malengo ya SMO yamebadilika kwa mantiki ya kupanuka zaidi?adhani huyu mbabe amejifunza kitu. kwa sasa hasemi tena operation. Anasema ni vita. mara ya kwanza alisema anaenda Ukraine kufanya operation
Uchumi wa Russia umeporomaka kiasi gani? Je, raia wake wameathirikaje hadi sasa ikilinganishwa na nchi ya Ukreni na zingine za Ulaya?Russia amekuwa exposed sasa anasaidiwa mpaka na Korea na Irani. NATO WANATAKA VITA IENDELEE RUSSIA IDHOOFIKE ZAID.PUTIN MPAKA ALIKUWA ANA KODI WANAJESHI NA ALIPONEA KUPINDULIWA NA WAGNER. AU WEWE
Mkishamalizq swala huwa mnajazana ujingaRussia hata ikisimama leo vita wamefanukiwa pakubwa kwenye kile walisema kuipunguza nguvu kijeshi Ukraine.
Hata hivyo narudia tena kusema, Russia ikiishambulia Ukraine kama Israel inachofanya Gaza kutokujali uhai wa raia Zelensky hivi sasa angekuwa anaishi Washington DC na familia yake kama wakimbizi wa kivita na kisiasa.
NATO uoga umewaingia kufahamu kwamba Russia ina uwezo kiasi hiko, misaada, askari intel n.k lakini bado hawajaidhoofisha Russia kama walivyodhani.
Nchi moja inapambana na nchi 32, si mchezo.
SIyo kweli. Tatizo ni Putin. Alichukua Cremia, eneo la Ukraine. Kama ilivyo kawaida ya shetani, huwa hatosheki wala kuridhika, akatengeneza makundi mamluki mashariki mwa Ukraine, yakaanzisha mapigano dhidi ya serikali, yakidai yanataka kujitenga na Ukraine ili yajiunge na Urusi. Makundi haya yakawa yanapewa pesa na silaha na Urusi, kama inavyofanya Iran. Alivyoona makundi mamluki yake hayafanikiwi, akaamua kuingia mwenyewe mzima mzima akidai kuwa eti anaenda kuyalinda makundi yake, huku mpango wake wa kwanza ukiwa kumwua Rais wa Ukraine. Alipanga kuimaliza Ukraine kwa siku 3. Mambo yalipokosa kwenda kama alivyotaka, akasema yupo tayari kusitisha vita kwa sharti moja kuu: maeneo yote aliyoyateka yawe mali ya Urusi!! Sasa mtu wa hivyo unaweza kuhadaika kuwa ana dhamira ya kumaliza vita?Kwani Putin alishawahi kuwa kikwazo cha kumaliza vita hapo Ukraine? Issue si US anachotaka amshinde Urusi na asitimize matakwa yao au?
2003 USA aliivamia Iraq akiwa na UK, Australia, Poland n.k sasa nikuulize, US alikuwa anasaidiwa?Umedanganya. Russia amekuwa exposed sasa anasaidiwa mpaka na Korea na Irani. NATO WANATAKA VITA IENDELEE RUSSIA IDHOOFIKE ZAID.PUTIN MPAKA ALIKUWA ANA KODI WANAJESHI NA ALIPONEA KUPINDULIWA NA WAGNER. AU WEWE UNASUBIRI USIMULIWE NA SHEIKH KITINKU?View attachment 3135099
Hajui hata kama Ukraine haruhusiwi kupiga ndani ya Urusi kwa kutumia silaha anazopewaWeka ushahidi kuwa Urusi inapambana na nchi 32, mbona wapumbavu hawaishi duniani? Askari Gani wa NATO waliotumwa kwenda kupigana Ukraine? Urusi katuma silaha pamoja na S400 kule Iran kwahyo Urusi inapigana na Israel?