Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
TrueSiku akija gundua hata huyo Snowden bado yupo kazini CIA atajiweka kwa tindikali.
Unadhani kwanini amekuja kumpa uraia leo baada ya kukaa kwake miaka yote hiyo?Siku akija gundua hata huyo Snowden bado yupo kazini CIA atajiweka kwa tindikali.
Naona kama huyu snowden alikua jasusi la urusi ndani ya NSA. Russia sio chato mpaka wampe uraia kijinga namna hiyo.Edward Snowden aliyetoa taarifa za namna serikali ya marekani inawaspy raia wake pamoja na viongozi wa nchi nyingine amepewa uraia wa urusi.
Hili ni pigo lingine kwa USA ukizingatia bado Urusi imeendelea kumshikilia Star wa basketball Britney Griner .View attachment 2369153
Kuna muda majasusi wanashtukiwa na wanakuwa turned mkuu (wanageuzwa asset ya kumpeleleza adui)Naona kama huyu snowden alikua jasusi la urusi ndani ya NSA. Russia sio chato mpaka wampe uraia kijinga namna hiyo.
kwamba Putin ni chiziSiku akija gundua hata huyo Snowden bado yupo kazini CIA atajiweka kwa tindikali.
Nimewaza the same.Siku akija gundua hata huyo Snowden bado yupo kazini CIA atajiweka kwa tindikali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Majasusi wa JF watoe intelligence analysis zao huku wameshindwa kutatua hata changamoto ya maji kwenye kaya zao [emoji1787]
wewe unamuona putin yuko sawa?kwamba Putin ni chizi
Kwamba Nyie mlioko huko Mpanda mtakua mnajua yote hayo na wazee wa KGB(Formally) wasijue risk hio?Nimewaza the same.
Aiseee mpaka wewe ushaanza kumgeuka?Put in is hallucinating himself
Pengine...!Aiseee mpaka wewe ushaanza kumgeuka?
Nakiomba mkuu..Aisee! kweli sikupoteza muda kusoma kitabu chake.