Putin ampa Edward Snowden Uraia wa urusi

Putin ampa Edward Snowden Uraia wa urusi

Majasusi wa JF wanakuja kutoa intelligence analysis zao huku wameshindwa kutatua hata changamoto ya maji kwenye kaya zao [emoji1787]
Jasusi wa Kibongo wanafuatilia Maisha ya watu, eti Fulani kajenga ghorofa kapata wapi hela.. ! This is bullshit...TISS TOKENI NJE YA TANZANIA MKAIBE TEKNOLOJIA MBALIMBALI NCHI ISONGE KAMA WACHINA WANAVYOFANYA

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, Jumatatu ya Septemba 26, 2022 alimpa uraia wa taifa hilo, Edward Snowden, mkandarasi wa zamani wa usalama wa Marekani, ambaye alifichua habari kuhusu nyaraka za siri za kina kuhusu mipango ya uchunguzi wa serikali na kisha kutoroka Marekani kukwepa kufunguliwa mashtaka.

Snowden, 39, alikuwa mmoja wa wageni 75 waliopewa uraia na kiongozi huyo lakini akasema hana nia ya kuukana uraia wake wa Marekani.

Urusi ilimpa hifadhi mnamo mwaka wa 2013, na amekuwa akiishi humo tangu wakati huo.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imekejeli hali mpya ya uraia wa Snowden aliyoipata ikisema "huenda akaandikishwa" kupigania vita ya Russia dhidi ya Ukraine.

Lakini Putin alisema ni wale tu walio na uzoefu wa awali wa kijeshi ambao wataitwa, ingawa kumekuwa na ripoti nyingi kwamba wengine wameitwa pia, ikiwa ni pamoja na wanaume waliokamatwa kwenye maandamano ya kupinga hatua hiyo ya Putin.

================

Putin grants Russian citizenship to US whistleblower Snowden

President Vladimir Putin has granted Russian citizenship to former US security contractor Edward Snowden, according to a decree signed by the Russian leader.

Snowden is one of 75 foreign nationals granted Russian citizenship by the decree published on an official government website on Monday.

The 39-year-old, a former contractor with the US National Security Agency, has been living in Russia since 2013 to escape prosecution in the United States after leaking classified documents detailing government surveillance programmes.

The documents revealed vast domestic and international surveillance operations carried out by the National Security Agency.

He was granted permanent residency in 2020 and said at the time that he planned to apply for Russian citizenship, without renouncing his US citizenship.

That year a US appeals court found the programme Snowden had exposed was unlawful and that the US intelligence leaders who publicly defended it were not telling the truth.

“After years of separation from our parents, my wife and I have no desire to be separated from our SONS. After two years of waiting and nearly ten years of exile, a little stability will make a difference for my family. I pray for privacy for them—and for us all,” Snowden tweeted on Monday.

US authorities have for years wanted Snowden to be returned to the US to face a criminal trial on espionage charges.

State Department spokesperson Ned Price said on Monday that the US is not aware of any change in Edward Snowden’s American citizenship status.

“Our position has not changed. Mr Snowden should return to the United States where he should face justice as any other American citizen would,” he said.

“The only thing that has changed is that as a result of his Russian citizenship, apparently now he may well be conscripted to fight in a reckless war in Ukraine.”

The move comes at a time when relations between Washington and Moscow are at historic lows over the conflict in Ukraine.

Snowden’s lawyer, Anatoly Kucherena, told Russia’s state news agency RIA Novosti that the former contractor’s wife Lindsay Mills, an American who has been living with him in Russia, will also be applying for a Russian passport.

The couple had a child in December 2020, who already has a Russian passport having been born in the country.

Snowden, who has kept a low profile in Russia and occasionally criticised Russian government policies on social media, said in 2019 that he was willing to return to the US if he is guaranteed a fair trial.

Putin, a former Russian spy chief, said in 2017 that Snowden was wrong to leak US secrets but was not a traitor.

Putin last week announced a mobilisation of Russian men to contribute to the army’s fight in Ukraine and Kucherena said Snowden would not be called up to serve given he had no prior experience in the Russian army.

Kremlin spokesman Dmitry Peskov meanwhile told news agencies that Snowden had received Russian citizenship as a result of his own request.

Source: Aljazeera
 
Majasusi wa JF wanakuja kutoa intelligence analysis zao huku wameshindwa kutatua hata changamoto ya maji kwenye kaya zao [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Edward Snowden aliyetoa taarifa za namna serikali ya marekani inawaspy raia wake pamoja na viongozi wa nchi nyingine amepewa uraia wa urusi.

Hili ni pigo lingine kwa USA ukizingatia bado Urusi imeendelea kumshikilia Star wa basketball Britney Griner .View attachment 2369153
Hii haina impact yoyote kwa US sana sana huyu jamaa utakuta ana mspay huyo huyo putini, sio uje hapa kuandika chochote lete habari zenye msisimko tumwage hoja
 
Ajiandae kwenda vitani wakati walevi na wazawa wanazolewa kwenda kufa UKRAINE [emoji1255]
 
Back
Top Bottom