Putin ampa Edward Snowden Uraia wa urusi

Putin ampa Edward Snowden Uraia wa urusi

Ben-8 angekuwa hajawa shadow angetupa muongozo maana ni alumni na swowden
 
Hivi huko urusi vikwazo bado vipo mbona naona kama maisha yanaendelea kama kawaida.!!
 
Edward Snowden aliyetoa taarifa za namna serikali ya marekani inawaspy raia wake pamoja na viongozi wa nchi nyingine amepewa uraia wa urusi.

Hili ni pigo lingine kwa USA ukizingatia bado Urusi imeendelea kumshikilia Star wa basketball Britney Griner .View attachment 2369153
Ujinga tu wa wanadam hakuna binadamu anaweza kuwa mkubwa au jasiri dhidi ya state uongo tu na kuwatumia watu na kuwatekeza
 
Jasusi wa Kibongo wanafuatilia Maisha ya watu, eti Fulani kajenga ghorofa kapata wapi hela.. ! This is bullshit...TISS TOKENI NJE YA TANZANIA MKAIBE TEKNOLOJIA MBALIMBALI NCHI ISONGE KAMA WACHINA WANAVYOFANYA

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Umechelewa sana haya yanafanyika sana nchini, tuko poa sana kitoknolojia
 
Back
Top Bottom