Putin ampoteza Meja Jenerali, auawa katika mapigano Ukraine

Vita haina mwenyewe, huyu meja kafa mimi je? sisi tubaki na amani yetu tu hata kama wengine wanaona uoga
 
Acha uongo mboma kwenye vita ya uganda ajaenda kama general tena walikuwa wametoka mafunzoni na marehemu baba yangu mkubwa urusi walikuwa wote kikosi cha anga.......
 
Aliyekuambia Mboma wakati wa vita alikuwa general ni nani?
 
Muundo wa jeshi la urusi niwakitamaduni tangu patriotic war na umerithiwa na baadhi ya mataifa ya Africa. Commanding system yao inaanzia juu kwenda chini tofauti na majeshi mengini ambayo maafisa wa chini wanaweza kufanya maamuzi bila consern ya viongozi war juu hii inaitwa top down decision making. Mfumo huu unatumika kwenye jeshi la china askari wengi conscripts tofauti kabisa na nchi za mabeberu.
 
Watu wanasema russia ni chui wakuchora kwenye karatasi pengine kuna logic hapa. Mashabiki wengi wa urusi wanaona kuwa russia hawezi shindwa kwenye vita. Hali hii ni matokeo ya propaganda ya russia kupitia patriotic war ambayo walishinda vita dhidi ya Hitler. Hali imekuwa tofauti huko mstari wa mbele kwani hatuoni hata morale boosting video zao vijana wa ukraine wamepigana kwelekweli sio mchezo.
 
Mfumo wa kutumia conscripts jeshini siyo mfumo mzuri. Unajua hao conscripts siyo kama askari waliofundishwa kama wale wa akiba kwa jeshi kama la Israel au la Marekani ambako wanaitwa National Reserve Army; hao ni kama ni kama JKT ya mujibu wa sheria tu. Wakati wa vita ya Vietnam, jeshi la Marekani nao lilikuwa na conscripts wakiwa drafted kwa mujibu wa sheria. Ile ndiyo iliyofundisha jeshi la Marekani kutotegemea conscripts kabisa, kwani wengine wanakwenda kwa shingo upande tu, hivyo wanakuwa hawajitumi na kusababisha makosa ya hatari sana huko vitani. Mohammed Ali alikataa kuitika mwito huo akapewa msukosuko lakini baadaye akaachwa.
 
Umeongea point mkuu maana askari wengi wa mujibu wana morale ndogo sana. Mimi kwa maoni yangu nawasiwasi haya mataifa wanatumia conscripts pengine hawana ukwasi wa kulipa wanajeshi wengi wenye mikataba ya muda mrefu.
 
Hivi Unamuona General wa Urusi kama real General?
General anavaa nishani nyiiingi wakati hajapigana hata Vita moja!!!
Hawa ni sawa na wa Korea Kaskazini.
... na hoja yangu ilikuwa hapo; how comes generals wa taifa kubwa kama Urusi wanamalizwa kizembezembe? There should something wrong somewhere.
 
... ukiisoma post ya Kichuguu hapo juu anaeleza jeshi la Russia ni la maofisa zaidi so kuwa jenerali Russia ni kawaida sana tofauti na nchi nyingine. That means, jenerali kuwa front line hence high risk ya kuuwawa ni kawaida.
Kwahiyo ulivyosoma TU happy juu umeamini mpaka na mwenzako nae unamwelekeza asome I'll see mbumbumbu kwa nondo za mbumbumbu.
Kwa akili ya kawaida TU hivi inawezekana ukatrain maafisa wengi kuliko NCO's?
NCO's ndio wapiganiaji halisi kibongobongo tunaita high kankara yaani wagumu, wakarakara.
Hao utawakuta mstari was mbele wakiwa either na kepteni, major au lutenkanali ambae huyu hupokea amri kutoka floor ya kimawasiliano kutoka juu kwenda chini,.
Humo mtoa amri, plani, na starategies Ni meja general ambae yeye Ni mtoa amri mkuu.
Kuna kitu inaitwa combania, section na brigade Sasa meja Jenerali ataongoza nini?
Nb.
Hakuna jeshi duniani ambapo meja Jenerali Ni mtu was kawaida ama was hadhi ya kawaida.
Duniani kote M jenerali ni ofisa was hadhi ya juu sana ambapo wengi ndo wale uwaonao meza kuu na mh rais.
 
... kwa hiyo unachotuambia hapa ni kwamba Major General au Lieutenant General wa Russia ni sawa na Captain au Major kwa majeshi mengine? Highest rank ya jeshi la Russia in ipi? By the way, majeshi mengi wanaoongoza vikosi frontline ni Sergeants.
Umenena na iko hivyo.
Seargent major kwa ngazi ya kombania na koplo kwa ngazi ya kisekshenk
 
... kwa hiyo unachotuambia hapa ni kwamba Major General au Lieutenant General wa Russia ni sawa na Captain au Major kwa majeshi mengine? Highest rank ya jeshi la Russia in ipi? By the way, majeshi mengi wanaoongoza vikosi frontline ni Sergeants.
Umenena na iko hivyo.
Seargent major kwa ngazi ya kombania na koplo kwa ngazi ya kisekshenk
 
... na hoja yangu ilikuwa hapo; how comes generals wa taifa kubwa kama Urusi wanamalizwa kizembezembe? There should something wrong somewhere.
Kawaida Generals wanaoperate Vita kutoka kwenye Command Posts, Kawaida wanakuwa behind the lines, Muundo wa Vita unategemea na mpangilio wa troops una Command ngapi,
Kila Command ina makao yake behind the lines hapo ndipo Mikakati ya vita inafanyika, yaani Vita inapiganishwa kutoka kwenye mkao makuu ya Command, Hapo ndipo Generals hukutana na kupanga mikakati.
Kawaida ukimuua General unapunguza morale ya jeshi, na General akiuawa Vita inatakiwa iishe.
Japo kuna baadhi ya Mageneral walikuwa wanapigana mstari wa mbele, lakini sio wengi.
 
Safi kabisa
 
Ni hivi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

RUSSIAN FOREIGN MINISTER LAVROV SAYS THE LONGER THE RANGE OF WEAPONS SENT TO UKRAINE BY THE WEST, THE FURTHER RUSSIA WILL MOVE AWAY FROM ITS BORDER THE LINE FROM WHICH 'NEO-NAZIS' CAN LAUNCH STRIKES
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…