Putin ana la kujifunza kwa jinsi Warusi walikua wanamshangilia kiongozi wa Wagner

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Warusi walijitokeza wengi kulaki Wagner na jitihada zao kwenye uasi, ni dhahiri wameuchoka utawala wa Putin ila wanashindwa pakuanzia.
Putin alishauriwa vizuri akaacha mikwara na kutafuta namna ya kuyajenga na Wagner......

Swali.
Retreat/withdraw aliyofanya wagner leader sio hatari kwake mnamo siku zijazo?
 
Kuna mengi tusiyoyajua nyuma ya pazia, kuna nadharia nyingi tu zinaibuka kwenye mitandao, mojawapo ikiwemo kwamba familia ya hilo lizee la Wagner ilikamatwa mateka, inawezekana kuwa kweli maana Urusi ni taifa la kimafia mafia, hufanyiana mambo ya ajabu ajabu.
 
Du, kwahiyo jamaa ana familia kabisa na huwa anaenda kupyambya kama kawa?!!! Naona muda wote anazungumzia kuua tu, mke si atakimbia

Tena ana watoto wawili, ni rahisi Sana kuwa blackmailed na mafioso wa Putin.
 
Warusi walijitokeza wengi kulaki Wagner na jitihada zao kwenye uasi, ni dhahiri wameuchoka utawala wa Putin ila wanashindwa pakuanzia.
Putin alishauriwa vizuri akaacha mikwara na kutafuta namna ya kuyajenga na Wagner......

Wewe una akili za kitoto sana.Watu kushangilia barabarani wakati wa vita ni kawaida sana na haina ujumbe wowote wa maana.Kuandamana nako ni hivyo hivyo.
 
Kuna mengi tusiyoyajua nyuma ya pazia, kuna nadharia nyingi tu zinaibuka kwenye mitandao, mojawapo ikiwemo kwamba familia ya hilo lizee la Wagner ilikamatwa mateka, inawezekana kuwa kweli maana Urusi ni taifa la kimafia mafia, hufanyiana mambo ya ajabu ajabu.
Putin kwavuruga kweli,mmebaki mnapiga ramli!
 
Warusi walijitokeza wengi kulaki Wagner na jitihada zao kwenye uasi, ni dhahiri wameuchoka utawala wa Putin ila wanashindwa pakuanzia.
Putin alishauriwa vizuri akaacha mikwara na kutafuta namna ya kuyajenga na Wagner......

Mbona hata Mandonga anashangiliwa tu shida iko wapi? Putin hakushinda uchaguzi 100% ni kawaida tu wengine kukukataa wala sio issue.
 
Kuna mengi tusiyoyajua nyuma ya pazia, kuna nadharia nyingi tu zinaibuka kwenye mitandao, mojawapo ikiwemo kwamba familia ya hilo lizee la Wagner ilikamatwa mateka, inawezekana kuwa kweli maana Urusi ni taifa la kimafia mafia, hufanyiana mambo ya ajabu ajabu.
We habari zako karibu zote kuhusu Urusi niza kubuni tu na kuweka chumvi mno hata pasipo stahili - wasomaji wana akili timamu kwa nini uwachi waka draw their own conclusion wakilingaisha na sources nyingine - we masaa yote nikufikiria Putin is dying tomorrow or the day after na Taifa zima la Russia litasambalatika hivi karibuni.
 
Wewe kijana toka Kibera Nairobi. Kenyatta na Ruto hawakuona la kujifnza baada ya Odinga kushangiliwa na watu?
 
Warusi walijitokeza wengi kulaki Wagner na jitihada zao kwenye uasi, ni dhahiri wameuchoka utawala wa Putin ila wanashindwa pakuanzia.
Putin alishauriwa vizuri akaacha mikwara na kutafuta namna ya kuyajenga na Wagner......

Ukweli ni kwamba baadhi ya wananchi waliunga mkono wa Prighozin baadhi walimpinga,hata kupigana wao Kwa wao mbele wa Wagner PMC,Hilo ni jambo la kawaida kwenye nchi. Sio kwamba ni woote.
 
Kuna mengi tusiyoyajua nyuma ya pazia, kuna nadharia nyingi tu zinaibuka kwenye mitandao, mojawapo ikiwemo kwamba familia ya hilo lizee la Wagner ilikamatwa mateka, inawezekana kuwa kweli maana Urusi ni taifa la kimafia mafia, hufanyiana mambo ya ajabu ajabu.
Hapa Russia moja ya maeneo hatari ni dirishani hasa dirisha la ghorofa, vijana wa Putin wanaweza kukusukuma muda wowote ule.
 
We habari zako karibu zote kuhusu Urusi niza kubuni tu na kuweka chumvi mno hata pasipo stahili - wasomaji wana akili timamu kwa nini uwachi waka draw their own conclusion wakilingaisha na sources nyingine - we masaa yote nikufikiria Putin is dying tomorrow or the day after na Taifa zima la Russia litasambalatika hivi karibuni.

Wewe siku zote huwa nakuambia ulete za waarabu wenu, nini hukushinda kuanzisha uzi hata siku moja....kaa kwa kutulia.
 
Back
Top Bottom