Putin ana la kujifunza kwa jinsi Warusi walikua wanamshangilia kiongozi wa Wagner

Putin ana la kujifunza kwa jinsi Warusi walikua wanamshangilia kiongozi wa Wagner

Kuna mengi tusiyoyajua nyuma ya pazia, kuna nadharia nyingi tu zinaibuka kwenye mitandao, mojawapo ikiwemo kwamba familia ya hilo lizee la Wagner ilikamatwa mateka, inawezekana kuwa kweli maana Urusi ni taifa la kimafia mafia, hufanyiana mambo ya ajabu ajabu.
Kipi Chanzo chako Cha habari!?
 
We habari zako karibu zote kuhusu Urusi niza kubuni tu na kuweka chumvi mno hata pasipo stahili - wasomaji wana akili timamu kwa nini uwachi waka draw their own conclusion wakilingaisha na sources nyingine - we masaa yote nikufikiria Putin is dying tomorrow or the day after na Taifa zima la Russia litasambalatika hivi karibuni.
Umesema ukweli mtupu!Watu tuko timamu,sijui anahisi yuko jukwaa la chekechea;
 
Umesema ukweli mtupu!Watu tuko timamu,sijui anahisi yuko jukwaa la chekechea;

Hata chekechea wangetumia akili vizuri kuliko zenu hizo mlizoshikiliwa wavaa makobaz, yaani siamini tumefika huku wakati kila siku mlikua mnatuaminisha Ukraine itafunikwa yote, leo tunaongea kuhusu Putin kuharisha ikulu.
 
Hii kitu usipokiangalia kwa jicho la tatu waweza kuingia chaka, wengi wa washangiliaji walikuwa Maajenti wa KGB, jamaa ovyo kabisa aliruhusu watu kusogelea silaha zake ikiwemo vifaru eti wanapiga picha vyote viliwekewa chip tayari kubamizwa.
 
Hata chekechea wangetumia akili vizuri kuliko zenu hizo mlizoshikiliwa wavaa makobaz, yaani siamini tumefika huku wakati kila siku mlikua mnatuaminisha Ukraine itafunikwa yote, leo tunaongea kuhusu Putin kuharisha ikulu.
Ungeanzisha bendi ukawa unaimba taarabu,ingependeza zaidi!
 
Wewe una akili za kitoto sana.Watu kushangilia barabarani wakati wa vita ni kawaida sana na haina ujumbe wowote wa maana.Kuandamana nako ni hivyo hivyo.
Kawashabikie alshabab
 
Back
Top Bottom