Swali.
Retreat/withdraw aliyofanya wagner leader sio hatari kwake mnamo siku zijazo?
Hata ruto analakujifunza jinsi Laila anavyoshangiliwaWarusi walijitokeza wengi kulaki Wagner na jitihada zao kwenye uasi, ni dhahiri wameuchoka utawala wa Putin ila wanashindwa pakuanzia.
Putin alishauriwa vizuri akaacha mikwara na kutafuta namna ya kuyajenga na Wagner......
Aisee! Huyo mke ni jasiri saaana!Tena ana watoto wawili, ni rahisi Sana kuwa blackmailed na mafioso wa Putin.
Wewe una akili za kitoto sana.Watu kushangilia barabarani wakati wa vita ni kawaida sana na haina ujumbe wowote wa maana.Kuandamana nako ni hivyo hivyo.Warusi walijitokeza wengi kulaki Wagner na jitihada zao kwenye uasi, ni dhahiri wameuchoka utawala wa Putin ila wanashindwa pakuanzia.
Putin alishauriwa vizuri akaacha mikwara na kutafuta namna ya kuyajenga na Wagner......
Putin kwavuruga kweli,mmebaki mnapiga ramli!Kuna mengi tusiyoyajua nyuma ya pazia, kuna nadharia nyingi tu zinaibuka kwenye mitandao, mojawapo ikiwemo kwamba familia ya hilo lizee la Wagner ilikamatwa mateka, inawezekana kuwa kweli maana Urusi ni taifa la kimafia mafia, hufanyiana mambo ya ajabu ajabu.
Mbona hata Mandonga anashangiliwa tu shida iko wapi? Putin hakushinda uchaguzi 100% ni kawaida tu wengine kukukataa wala sio issue.Warusi walijitokeza wengi kulaki Wagner na jitihada zao kwenye uasi, ni dhahiri wameuchoka utawala wa Putin ila wanashindwa pakuanzia.
Putin alishauriwa vizuri akaacha mikwara na kutafuta namna ya kuyajenga na Wagner......
We habari zako karibu zote kuhusu Urusi niza kubuni tu na kuweka chumvi mno hata pasipo stahili - wasomaji wana akili timamu kwa nini uwachi waka draw their own conclusion wakilingaisha na sources nyingine - we masaa yote nikufikiria Putin is dying tomorrow or the day after na Taifa zima la Russia litasambalatika hivi karibuni.Kuna mengi tusiyoyajua nyuma ya pazia, kuna nadharia nyingi tu zinaibuka kwenye mitandao, mojawapo ikiwemo kwamba familia ya hilo lizee la Wagner ilikamatwa mateka, inawezekana kuwa kweli maana Urusi ni taifa la kimafia mafia, hufanyiana mambo ya ajabu ajabu.
Putin kwavuruga kweli,mmebaki mnapiga ramli!
Ukweli ni kwamba baadhi ya wananchi waliunga mkono wa Prighozin baadhi walimpinga,hata kupigana wao Kwa wao mbele wa Wagner PMC,Hilo ni jambo la kawaida kwenye nchi. Sio kwamba ni woote.Warusi walijitokeza wengi kulaki Wagner na jitihada zao kwenye uasi, ni dhahiri wameuchoka utawala wa Putin ila wanashindwa pakuanzia.
Putin alishauriwa vizuri akaacha mikwara na kutafuta namna ya kuyajenga na Wagner......
Hapa Russia moja ya maeneo hatari ni dirishani hasa dirisha la ghorofa, vijana wa Putin wanaweza kukusukuma muda wowote ule.Kuna mengi tusiyoyajua nyuma ya pazia, kuna nadharia nyingi tu zinaibuka kwenye mitandao, mojawapo ikiwemo kwamba familia ya hilo lizee la Wagner ilikamatwa mateka, inawezekana kuwa kweli maana Urusi ni taifa la kimafia mafia, hufanyiana mambo ya ajabu ajabu.
Laila ndo nani huyo????Hata ruto analakujifunza jinsi Laila anavyoshangiliwa
We habari zako karibu zote kuhusu Urusi niza kubuni tu na kuweka chumvi mno hata pasipo stahili - wasomaji wana akili timamu kwa nini uwachi waka draw their own conclusion wakilingaisha na sources nyingine - we masaa yote nikufikiria Putin is dying tomorrow or the day after na Taifa zima la Russia litasambalatika hivi karibuni.