Putin ana la kujifunza kwa jinsi Warusi walikua wanamshangilia kiongozi wa Wagner

Kipi Chanzo chako Cha habari!?
 
Umesema ukweli mtupu!Watu tuko timamu,sijui anahisi yuko jukwaa la chekechea;
 
Umesema ukweli mtupu!Watu tuko timamu,sijui anahisi yuko jukwaa la chekechea;

Hata chekechea wangetumia akili vizuri kuliko zenu hizo mlizoshikiliwa wavaa makobaz, yaani siamini tumefika huku wakati kila siku mlikua mnatuaminisha Ukraine itafunikwa yote, leo tunaongea kuhusu Putin kuharisha ikulu.
 
Hii kitu usipokiangalia kwa jicho la tatu waweza kuingia chaka, wengi wa washangiliaji walikuwa Maajenti wa KGB, jamaa ovyo kabisa aliruhusu watu kusogelea silaha zake ikiwemo vifaru eti wanapiga picha vyote viliwekewa chip tayari kubamizwa.
 
Hata chekechea wangetumia akili vizuri kuliko zenu hizo mlizoshikiliwa wavaa makobaz, yaani siamini tumefika huku wakati kila siku mlikua mnatuaminisha Ukraine itafunikwa yote, leo tunaongea kuhusu Putin kuharisha ikulu.
Ungeanzisha bendi ukawa unaimba taarabu,ingependeza zaidi!
 
Wewe una akili za kitoto sana.Watu kushangilia barabarani wakati wa vita ni kawaida sana na haina ujumbe wowote wa maana.Kuandamana nako ni hivyo hivyo.
Kawashabikie alshabab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…