Putin anajua kutumia Furusa ktk mgogoro wa Iran vs USA

Putin anajua kutumia Furusa ktk mgogoro wa Iran vs USA

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Wakati moto ukiwaka kwa kasi baina ya Marekani na Iran ghafla bwana Putin akapiga ziara ya kushitukiza Syria kisha akaelekea Uturuki kukutana na Edorgan.

Binafsi nikajua ziara yake inahusiana na kutafuta amani eneo hilo kumbe yeye ana issue zake za Bomba la gesi kutoka Russia hadi Turkey. Yaani Dunia nzima macho na masikio yapo kwenye bifu la USA na Iran lakini yeye yupo na hamsini zake japo alifika ukanda huo, sikumsikia hata akitoa ushauri kwa Marekani au Iran au kokote nilichosikia tu wamezungumzia hali ya Libya.

Kwa mtazamo wangu nadhani Putin katumia haka kaupepo kwani tumeshuhudia deal nyingi Russia anazoingia na nchi za Ulaya including Turkey zimekuwa zikipingwa sana na Marekani, sasa hii ya Jana naona uzinduzi umekwenda very smooth, sijasikia Trump akikosoa au kuongea chochote.

Ama kweli Putin ni Janja Janja Fulani na anafanikisha deal zake bila jasho jingi. Nadhani siku wenge la Iran likipoa ndipo Trump ataongea hivi " For sure this Project will Compromise the Security of our Allies in NATO territories ".
 
Ratiba za maraisi wakubwa sio za kustukiza km unavyofkiria, hata ajenda zinafahamika, kwa nchi km USA wanafahamu fika kabla Russia sealed the deal.
Muhimu vita isitokee coz Africa countries we will suffer indeed

Sent using Jamii Forums mobile app

Definitely, We are just like crawling babes who can not jump or run when dangers come in our way. Swali la kujiuliza, visima hivi vya mafuta ambavyo nchi hizi za mashariki ya kati zinavyo huku kwetu Tz Au East Africa havipo ? Kiasi kwamba ikitokea vita tu pale kati mafuta bei yake inapaa. [emoji1522]‍[emoji436][emoji1522]‍[emoji436][emoji848][emoji848]


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Back
Top Bottom