Pearce
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 667
- 1,582
Wakati unakaza kiuno kupambana na ukweli ungeomba tu kujiunga Twanga Pepeta usaidiane na Supa Nyamwela ili kiuno kikuletee kipatoWakati unakaza fuvu kuleta ndoto za kufikirika Russia anakusanya mapato makubwa ya mafuta na gas toka Nchi za Ulaya hasa Germany. Ungeelekeza nguvu zako kutathimini namna ya kuikomboa familia kutoka kwenye dimbwi la umaskini na kuongeza kipato chako.
Ukweli haupingwi kwa jazba na hasira hizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]