Iambie serikali yako imlipeMkuu inaonekana unalipwa posho na Ukraine si kwa tulisha hizo habari.jitahidi uwe unaripoti na habari za hapa kwetu Tanzania tuna matatizo mengi pengine kuliko hiyo vita ya Ukraine ndio ombi langu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iambie serikali yako imlipeMkuu inaonekana unalipwa posho na Ukraine si kwa tulisha hizo habari.jitahidi uwe unaripoti na habari za hapa kwetu Tanzania tuna matatizo mengi pengine kuliko hiyo vita ya Ukraine ndio ombi langu.
Tuombe radhi tunaoishi kigamboni, huku hawakai mazezeta kama haoSuccessor wa Putin unamjua wewe na ujuaji wako? Humjui, na hivyo huwezi sema lolote kuhusu usiye mjua. Eti umekaa hapa unaamini Medvedev yule mlegevu ndio successor wa Putin. Lipi alilofanya Medvedev mpaka useme ni zaidi ya Putin.
Kibaraka aliyewekwa term moja na Putin akawa Waziri Mkuu ili kupisha sheria ya mihura miwili ndio unasema hana mswalia mtume? Warusi wa Kigamboni bwana
Unataka kusema Javelin ina uwezo wa kupukutisha gari la mtukufu putin?Its very unlikely jaribio la mauaji litokee kizembe hivyo bila kutumia milipuko ya uhakika. Magari yao ni armmoured na blast proof hayaathiriwi na grenades au common explosives mpaka RPG kubwa kama type 6 au anti tank missiles/mines
Ukisema mziki ni ule ule unakuwa unawakosea heshima Ukraine kwa jitihada zao. Mziki wanaochezeshwa Russia hawajawahi kuchezeshewa, watu wanaona gwanda ni nzito, watu wanaacha bunduki na kukimbia.Ha ha ha!! Sasa mumemhama Putin mumekwenda kuabudu sijui nani huyo, kwani huyo angetumia wanajeshi wengine kutoka Mars au hawa hawa wanaopokea moto.
Nakumbuka Putin alipoomba msaada kutoka kwa wale waislamu wa Chechya mlisema ndio basi amemaliza shughuli, ila wakapokea za uso, akaleta sijui jenerali fulani aliyepigana Syria mkasema babkubwa, ila muziki ukawa ule ule.
Huenda ni propaganda za vitaHizo habari Mk254 hazionekani kuwa na ukweli wowote.
Mtu ambae anategemea kudra za Mwenyezi Mungu kuishi,au siku hizi Putin anatengeneza pumzi yake mwenyewe inayomfanya uwe na uhakika wa kuishi hiyo miaka 30 ijayo? Naungana na Shimba ya Buyenze waliue tu wakiweza.Hatuwezi kuishi na jitu lenye roho mbaya kiasi hicho kwa Dunia ya sasa.Ndio nakwambia successor wake hana mswalia mtume,ombeni aendelee kuwa hai mpaka vita hii iishe!
NB:Kumuua Putin sio jambo la Kupanga siku mbili au 3,inabidi mpange njama miaka 30,Tena hapo mkoteleza tu mnaanza zoezi la Kupanga upya!
Huyo Successor ana nini cha maana? Kwamba yeye ndiyo atakuja kuwa tishio hapa Duniani? Huo ujinga uliishia kwa Hitler tu,kwa sasa hakuna Dunia itakuruhusu mtu mmoja ulete huo ubabe wa kijinga tenaNdio nakwambia successor wake hana mswalia mtume,ombeni aendelee kuwa hai mpaka vita hii iishe!
NB:Kumuua Putin sio jambo la Kupanga siku mbili au 3,inabidi mpange njama miaka 30,Tena hapo mkoteleza tu mnaanza zoezi la Kupanga upya!
Sasa hao ndiyo tishio?Hapo haikwepeki,ni either Medvedev au Segrov!
Putin mstaarabu,ingekuwa Medvedev,angefanya kama Bush!Unaenda unashambulia Kwa anga,halafu jeshi la ardhini ni kufanya usafi tu!Huyo Successor ana nini cha maana? Kwamba yeye ndiyo atakuja kuwa tishio hapa Duniani? Huo ujinga uliishia kwa Hitler tu,kwa sasa hakuna Dunia itakuruhusu mtu mmoja ulete huo ubabe wa kijinga tena
Sasa hapo ni Kwa mipango ya Mungu,ila Kwa mipango ya binadamu mnahitaji Kupanga Kwa muda mrefu!Muda ambao mtautumia Kupanga kumuua Rais wa Russia basi atakuwa kitambo ameshatoka madarakani!Mtu ambae anategemea kudra za Mwenyezi Mungu kuishi,au siku hizi Putin anatengeneza pumzi yake mwenyewe inayomfanya uwe na uhakika wa kuishi hiyo miaka 30 ijayo? Naungana na Shimba ya Buyenze waliue tu wakiweza.Hatuwezi kuishi na jitu lenye roho mbaya kiasi hicho kwa Dunia ya sasa.
Alokwambia madhara yatafika Afrika mwambie akwambie tenaHapana. Huyu jamaa akili zake siyo nzuri. Hicho kinu cha nyuklia anachokichezea kikitema sumu wanasema Chenobyl cha mtoto na madhara yake hayataishia Ulaya tu bali ni mpaka Afrika; na kuna uwezekano wa kubadili kabisa hata mfumo wa majira. Yote haya yatokee lwa ajili ya ego ya mtu mmoja tu.
Ni yale yale. Dunia ilikuwa wapi kumuua Hitler wakati akileta maafa karibia dunia nzima?
Dunia iko wapi wakati Putin anataka kuiangamiza dunia nzima? Maana kwa ego yake yuko tayari hata kunukisha nyukilia. Na atakayeathirika zaidi ni sisi huku Afrika. Kwa nini mtu mmoja tu aruhusiwe kufanya haya?
Mi nasema waliue tu kama inawezekana ili dunia isiangamie! [emoji706][emoji706][emoji706]
Tutamjengea sanam[emoji23][emoji3][emoji16]Mkuu hii vita ikiisha unastahili pongezi
Kamuueni mnaotaka wamuue hawawezi ndio maana jamaa yupo[emoji23][emoji16][emoji3]Mtu ambae anategemea kudra za Mwenyezi Mungu kuishi,au siku hizi Putin anatengeneza pumzi yake mwenyewe inayomfanya uwe na uhakika wa kuishi hiyo miaka 30 ijayo? Naungana na Shimba ya Buyenze waliue tu wakiweza.Hatuwezi kuishi na jitu lenye roho mbaya kiasi hicho kwa Dunia ya sasa.
[emoji736] روسیه سربازانی را که نیروگاه هستهای زاپوریژژیا را اداره میکنند، خارج نمیکندHapana. Huyu jamaa akili zake siyo nzuri. Hicho kinu cha nyuklia anachokichezea kikitema sumu wanasema Chenobyl cha mtoto na madhara yake hayataishia Ulaya tu bali ni mpaka Afrika; na kuna uwezekano wa kubadili kabisa hata mfumo wa majira. Yote haya yatokee kwa ajili ya ego ya mtu mmoja tu.
Ni yale yale. Dunia ilikuwa wapi kumuua Hitler wakati akileta maafa karibia dunia nzima?
Dunia iko wapi wakati Putin anataka kuiangamiza dunia nzima? Maana kwa ego yake yuko tayari hata kunukisha nyukilia. Na atakayeathirika zaidi ni sisi huku Afrika. Kwa nini mtu mmoja tu aruhusiwe kufanya haya?
Mi nasema waliue tu kama inawezekana ili dunia isiangamie! [emoji706][emoji706][emoji706]
Huyu huyu Medvedev aliyekuwa Rais asiyekuwa na nguvu na badala yake nguvu zote akajipa PM Putin? Alipaswa kwanza hiyp jeuri aionyeshe kwa Putin kipindi akiwa Rais.Putin mstaarabu,ingekuwa Medvedev,angefanya kama Bush!Unaenda unashambulia Kwa anga,halafu jeshi la ardhini ni kufanya usafi tu!
Javelin inafanya penetration ya kama 800mm ambayo ni kubwa hata kwa kifaru chenye armour plates. Gari linapigwa vizuri haijalishi ni la naniUnataka kusema Javelin ina uwezo wa kupukutisha gari la mtukufu putin?
aseee sikudhania mtu kama wewe naye utakuwa na uelewa hafifu.Waliue tu. Dunia patakuwa mahali salama zaidi 🚮🚮🚮
Hapana. Huyu jamaa akili zake siyo nzuri. Hicho kinu cha nyuklia anachokichezea kikitema sumu wanasema Chenobyl cha mtoto na madhara yake hayataishia Ulaya tu bali ni mpaka Afrika; na kuna uwezekano wa kubadili kabisa hata mfumo wa majira. Yote haya yatokee kwa ajili ya ego ya mtu mmoja tu.
Ni yale yale. Dunia ilikuwa wapi kumuua Hitler wakati akileta maafa karibia dunia nzima?
Dunia iko wapi wakati Putin anataka kuiangamiza dunia nzima? Maana kwa ego yake yuko tayari hata kunukisha nyukilia. Na atakayeathirika zaidi ni sisi huku Afrika. Kwa nini mtu mmoja tu aruhusiwe kufanya haya?
Mi nasema waliue tu kama inawezekana ili dunia isiangamie! [emoji706][emoji706][emoji706]
Upeo wangu mdogo au mkubwa hiyo haijalishi. Mi naomba waliue tu ili lisije likatufikisha kwenye nyuklia. Kasayari kenyewe ni haka haka hakuna kengine. Au wewe mwenye upeo mkubwa una mahali pa kukimbilia? Wapi? Njombe au Mars? 😁😁😁
Masuala ya ushoga na usagaji yanakujaje kwenye mjadala huu bro? Am I missing something?Mnataka auwawe ili muendeleze harakati zenu za kuandaa makongamano ya ushoga na usagaji?