Putin anusurika jaribio la mauaji

Putin anusurika jaribio la mauaji

Mkuu inaonekana unalipwa posho na Ukraine si kwa tulisha hizo habari.jitahidi uwe unaripoti na habari za hapa kwetu Tanzania tuna matatizo mengi pengine kuliko hiyo vita ya Ukraine ndio ombi langu.
Iambie serikali yako imlipe
 
Successor wa Putin unamjua wewe na ujuaji wako? Humjui, na hivyo huwezi sema lolote kuhusu usiye mjua. Eti umekaa hapa unaamini Medvedev yule mlegevu ndio successor wa Putin. Lipi alilofanya Medvedev mpaka useme ni zaidi ya Putin.
Kibaraka aliyewekwa term moja na Putin akawa Waziri Mkuu ili kupisha sheria ya mihura miwili ndio unasema hana mswalia mtume? Warusi wa Kigamboni bwana
Tuombe radhi tunaoishi kigamboni, huku hawakai mazezeta kama hao
 
Its very unlikely jaribio la mauaji litokee kizembe hivyo bila kutumia milipuko ya uhakika. Magari yao ni armmoured na blast proof hayaathiriwi na grenades au common explosives mpaka RPG kubwa kama type 6 au anti tank missiles/mines
Unataka kusema Javelin ina uwezo wa kupukutisha gari la mtukufu putin?
 
Ha ha ha!! Sasa mumemhama Putin mumekwenda kuabudu sijui nani huyo, kwani huyo angetumia wanajeshi wengine kutoka Mars au hawa hawa wanaopokea moto.
Nakumbuka Putin alipoomba msaada kutoka kwa wale waislamu wa Chechya mlisema ndio basi amemaliza shughuli, ila wakapokea za uso, akaleta sijui jenerali fulani aliyepigana Syria mkasema babkubwa, ila muziki ukawa ule ule.
Ukisema mziki ni ule ule unakuwa unawakosea heshima Ukraine kwa jitihada zao. Mziki wanaochezeshwa Russia hawajawahi kuchezeshewa, watu wanaona gwanda ni nzito, watu wanaacha bunduki na kukimbia.
 
Ndio nakwambia successor wake hana mswalia mtume,ombeni aendelee kuwa hai mpaka vita hii iishe!
NB:Kumuua Putin sio jambo la Kupanga siku mbili au 3,inabidi mpange njama miaka 30,Tena hapo mkoteleza tu mnaanza zoezi la Kupanga upya!
Mtu ambae anategemea kudra za Mwenyezi Mungu kuishi,au siku hizi Putin anatengeneza pumzi yake mwenyewe inayomfanya uwe na uhakika wa kuishi hiyo miaka 30 ijayo? Naungana na Shimba ya Buyenze waliue tu wakiweza.Hatuwezi kuishi na jitu lenye roho mbaya kiasi hicho kwa Dunia ya sasa.
 
Huyo Successor ana nini cha maana? Kwamba yeye ndiyo atakuja kuwa tishio hapa Duniani? Huo ujinga uliishia kwa Hitler tu,kwa sasa hakuna Dunia itakuruhusu mtu mmoja ulete huo ubabe wa kijinga tena
 
Huyo Successor ana nini cha maana? Kwamba yeye ndiyo atakuja kuwa tishio hapa Duniani? Huo ujinga uliishia kwa Hitler tu,kwa sasa hakuna Dunia itakuruhusu mtu mmoja ulete huo ubabe wa kijinga tena
Putin mstaarabu,ingekuwa Medvedev,angefanya kama Bush!Unaenda unashambulia Kwa anga,halafu jeshi la ardhini ni kufanya usafi tu!
 
Mtu ambae anategemea kudra za Mwenyezi Mungu kuishi,au siku hizi Putin anatengeneza pumzi yake mwenyewe inayomfanya uwe na uhakika wa kuishi hiyo miaka 30 ijayo? Naungana na Shimba ya Buyenze waliue tu wakiweza.Hatuwezi kuishi na jitu lenye roho mbaya kiasi hicho kwa Dunia ya sasa.
Sasa hapo ni Kwa mipango ya Mungu,ila Kwa mipango ya binadamu mnahitaji Kupanga Kwa muda mrefu!Muda ambao mtautumia Kupanga kumuua Rais wa Russia basi atakuwa kitambo ameshatoka madarakani!
Halafu Dua la kuku Huwa halimpati mwewe!
Nways,nani wa kumuua Putin?Usiishie kusema waliue,bali toa hata idea!
 
Hapana. Huyu jamaa akili zake siyo nzuri. Hicho kinu cha nyuklia anachokichezea kikitema sumu wanasema Chenobyl cha mtoto na madhara yake hayataishia Ulaya tu bali ni mpaka Afrika; na kuna uwezekano wa kubadili kabisa hata mfumo wa majira. Yote haya yatokee lwa ajili ya ego ya mtu mmoja tu.

Ni yale yale. Dunia ilikuwa wapi kumuua Hitler wakati akileta maafa karibia dunia nzima?

Dunia iko wapi wakati Putin anataka kuiangamiza dunia nzima? Maana kwa ego yake yuko tayari hata kunukisha nyukilia. Na atakayeathirika zaidi ni sisi huku Afrika. Kwa nini mtu mmoja tu aruhusiwe kufanya haya?

Mi nasema waliue tu kama inawezekana ili dunia isiangamie! [emoji706][emoji706][emoji706]
Alokwambia madhara yatafika Afrika mwambie akwambie tena
Wenyewe wanakwambia madhara yatafika GER hawategemei kuzidi hapo
Ila kama madhara yatafika EU basi acha akiripue tu wafe hao UMBWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu ambae anategemea kudra za Mwenyezi Mungu kuishi,au siku hizi Putin anatengeneza pumzi yake mwenyewe inayomfanya uwe na uhakika wa kuishi hiyo miaka 30 ijayo? Naungana na Shimba ya Buyenze waliue tu wakiweza.Hatuwezi kuishi na jitu lenye roho mbaya kiasi hicho kwa Dunia ya sasa.
Kamuueni mnaotaka wamuue hawawezi ndio maana jamaa yupo[emoji23][emoji16][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana. Huyu jamaa akili zake siyo nzuri. Hicho kinu cha nyuklia anachokichezea kikitema sumu wanasema Chenobyl cha mtoto na madhara yake hayataishia Ulaya tu bali ni mpaka Afrika; na kuna uwezekano wa kubadili kabisa hata mfumo wa majira. Yote haya yatokee kwa ajili ya ego ya mtu mmoja tu.

Ni yale yale. Dunia ilikuwa wapi kumuua Hitler wakati akileta maafa karibia dunia nzima?

Dunia iko wapi wakati Putin anataka kuiangamiza dunia nzima? Maana kwa ego yake yuko tayari hata kunukisha nyukilia. Na atakayeathirika zaidi ni sisi huku Afrika. Kwa nini mtu mmoja tu aruhusiwe kufanya haya?

Mi nasema waliue tu kama inawezekana ili dunia isiangamie! [emoji706][emoji706][emoji706]
[emoji736] روسیه سربازانی را که نیروگاه هسته‌ای زاپوریژژیا را اداره می‌کنند، خارج نمی‌کند

[emoji778]️ ما از روبل برای پرداخت کوپن‌های یوروباندهای 2023 و 2043 استفاده کردیم.

[emoji736]Russia will not withdraw soldiers who operate the Zaporizhzhia nuclear power plant

[emoji778]️ We used rubles to pay the coupons of Eurobonds 2023 and 2043.

Wenyewe wamekusikia MKUU wakaona wakujibu
Bado wapo wapo sana huko ZNPP
Habar njema mno hii kwasisi wapenda amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin mstaarabu,ingekuwa Medvedev,angefanya kama Bush!Unaenda unashambulia Kwa anga,halafu jeshi la ardhini ni kufanya usafi tu!
Huyu huyu Medvedev aliyekuwa Rais asiyekuwa na nguvu na badala yake nguvu zote akajipa PM Putin? Alipaswa kwanza hiyp jeuri aionyeshe kwa Putin kipindi akiwa Rais.
 
Unataka kusema Javelin ina uwezo wa kupukutisha gari la mtukufu putin?
Javelin inafanya penetration ya kama 800mm ambayo ni kubwa hata kwa kifaru chenye armour plates. Gari linapigwa vizuri haijalishi ni la nani
 
Hapana. Huyu jamaa akili zake siyo nzuri. Hicho kinu cha nyuklia anachokichezea kikitema sumu wanasema Chenobyl cha mtoto na madhara yake hayataishia Ulaya tu bali ni mpaka Afrika; na kuna uwezekano wa kubadili kabisa hata mfumo wa majira. Yote haya yatokee kwa ajili ya ego ya mtu mmoja tu.

Ni yale yale. Dunia ilikuwa wapi kumuua Hitler wakati akileta maafa karibia dunia nzima?

Dunia iko wapi wakati Putin anataka kuiangamiza dunia nzima? Maana kwa ego yake yuko tayari hata kunukisha nyukilia. Na atakayeathirika zaidi ni sisi huku Afrika. Kwa nini mtu mmoja tu aruhusiwe kufanya haya?

Mi nasema waliue tu kama inawezekana ili dunia isiangamie! [emoji706][emoji706][emoji706]

Media za west zina-exaggerate sana.
 
Mnataka auwawe ili muendeleze harakati zenu za kuandaa makongamano ya ushoga na usagaji?
Upeo wangu mdogo au mkubwa hiyo haijalishi. Mi naomba waliue tu ili lisije likatufikisha kwenye nyuklia. Kasayari kenyewe ni haka haka hakuna kengine. Au wewe mwenye upeo mkubwa una mahali pa kukimbilia? Wapi? Njombe au Mars? 😁😁😁
 
Mnataka auwawe ili muendeleze harakati zenu za kuandaa makongamano ya ushoga na usagaji?
Masuala ya ushoga na usagaji yanakujaje kwenye mjadala huu bro? Am I missing something?

Ina maana Putin kaivamia Ukraine ili kuwazuia Wa-Ukraine wasifanye hayo makongamano unayoyasema?

Na Putin kufa ni jambo la ajabu? Kwani yeye ataishi milele? Akifa dunia itasimama?

Yaani kuna watu mmekuwa washabiki wa hivi vita utafikiri Yanga na Simba hata objectivity hakuna ni kuropoka tu!
 
Back
Top Bottom