Putin apapatika na kufanya vikao baada ya mabomu kulipua kambi tatu Urusi ndani ndani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wana wamembip tu wala hajaguswa vizuri tayari keshaanza kuita vikao ndani kwa ndani, baada ya kambi za ndani ya Urusi kulipuliwa tena ndani kabisa mleee! Alishasema Urusi ikishambuliwa atafanya makubwa, haya tuone.

Russian President Vladimir Putin on Tuesday called a meeting with his security council to discuss the country's domestic defenses after three airbases saw "explosions" this week.

The Kremlin did not release details of the meeting but said that Russian officials looked to shore up the nation's "internal security."

The meeting appeared to take place just hours after a third airbase was struck in the Russian city of Kursk north of the Ukrainian border and one day after explosions were reported at two separate airbases hundreds of miles inside Russian territory.

Jamani warusi wenzangu wa Tandahimba, Masasi na kilwa hivi mnamuelewa Putin, Yani ameshindwa kukadhibiti ka Ukraine kasirushe bom kwake, ila nyie NATO kwa kutuharibia mipango yetu warusi wa Ujiji na Bagamoyo mungu anawaona, duuuh Putin kweli anatuyumbisha, Hawa ndio Ukraine je ingekuea ni ule muungano wa .......... si ingekuwa balaa hapa.
 
Bwana Utam takbir
 
Naona Mzee mzima Putin naye ameanza kuwa mzee wa Hekaya za Vikao vya Kila Mara.

Hata hivyo sioni faida ya Vikao hivyo Kama Putin Peke yake ndiye mwenye kuongea kuanzia mwanzo wa Kikao mpaka mwisho huku wenzake wakiwa wasikilizaji tu.
 
Ole wako ujifanye kama unajikuna...Ona hapa kwenye hii video asivyoshaurika

Naona kikao cha wale walioumizwa na mapenzi kinaendelea kujadili mbinu za kushughulika na Ma-x wao, 🤣🤣🤣🤣
 
Hatua ya Russia kufanya security meeting inaogopwa na Pentagon lakini we we mzalamo wa tandale unachukulia simplest eeeh.
 
Wana wamembip tu wala hajaguswa vizuri tayari keshaanza kuita vikao ndani kwa ndani, baada ya kambi za ndani ya Urusi kulipuliwa tena ndani kabisa mleee! Alishasema Urusi ikishambuliwa atafanya makubwa, haya tuone.

Russian President Vladimir Putin on Tuesday called a meeting with his security council to discuss the country's domestic defenses after three airbases saw "explosions" this week.

The Kremlin did not release details of the meeting but said that Russian officials looked to shore up the nation's "internal security."

The meeting appeared to take place just hours after a third airbase was struck in the Russian city of Kursk north of the Ukrainian border and one day after explosions were reported at two separate airbases hundreds of miles inside Russian territory.

Bado bomu kulipukia Kremlin.
 
Hatua ya Russia kufanya security meeting inaogopwa na Pentagon lakini we we mzalamo wa tandale unachukulia simplest eeeh.

hehehe Putin aliahidi Urusi ikishambuliwa atafanya jambo lake sio vikao vikao....bure kabisa.
 
Jamani warusi wenzangu wa Tandahimba, Masasi na kilwa hivi mnamuelewa Putin, Yani ameshindwa kukadhibiti ka Ukraine kasirushe bom kwake, ila nyie NATO kwa kutuharibia mipango yetu warusi wa Ujiji na Bagamoyo mungu anawaona, duuuh Putin kweli anatuyumbisha, Hawa ndio Ukraine je ingekuea ni ule muungano wa .......... si ingekuwa balaa hapa.
....... Waugane mara ngapi???

Kwa sasa Hawa ......wameshajua Putin ni mwepesi....waungane kiuwazi bas
 
Kama Ukraine wameanza kupiga ndani ya Urusi ni hatua nzuri sana ya kufikisha ujumbe kwa dikteta Putin.
 
Bila hivyo uvamazi wake utadumu muda mrefu sana
 
Back
Top Bottom